PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

Hakukosea ila nadhani alimuweka sababu jamaa alipenda sana kumsifia JPM so alihitaji kubalance story ila linapokuja suala la facts.... Huwezi expect Lumumba eti aongee ya kweli kuliko Lissu!!

Ndio maana hapa Tanzania kuna mitaa,barabara, majengo, n.k yanaitwa Nkrumah ila ukifika Ghana ukamsifia Nkrumah unaweza pigwa mawe!! Ssa hyo ikupe fundisho kwamba wenyeji ndio wanajua zaidi kuliko mpita njia unayeona tu nchi inang'aa unaanza kusifia.
 
Kwa hiyo,
1. Tupo pale pale , amebalance vipi ?, wakati kamueka Lumumba asieijua Tanzania kuongelea ya watanzania ?
2 . Tindo liso yupo nje ya nchi miaka mingapi ? Anayajuaje ya sie tuliopo nchini ?
3. kwahiyo mjadala ulikua null and void kwa vile waliokua wasemaji wakuu hawaijui vizuri Tanzania?
 
Lumumba Kama.walivyo wanazuoni wengi wanajua kuongea nadharia tu hawajui vitendo. Yaani ingekua YEYE atandikwe rusasi 16 angeendelea kumkenulia meno aliyemtendea hivyo kweli?
 
Zile kura za kwenye mabegi alizileta nani pale kwenye kituo? Aliezishika kituoni yupo wapi sasa ? Drama on the move🤣🤣

Vyombo vya dola ndio vilileta zile kura. Unashika kura zilizoletwa na vyombo vya dola utafanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…