PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko


Kama ushawishi wa jiwe ulivyokuwa umeshuka mpaka ikabidi anajisi uchaguzi. Lisu sema ukweli baba watanzania tuko nyuma yako.
 
Kuabudu mtu inakusaidia nini?
Siabudu mtu mimi...naongea ukweli..refer picha na videos za msiba wa magufuli kuanzia Mwanza, Geita mpaka chato..unafikiri wale ni nani zaidi ya wapiga kura? Binafsi kuna sera za magufuli nilikuwa nazipiga ila ukweli ni kwamba nimeumizwa na msiba wake...na hawa wapuuzi wanaoendelea kutaka kumshambulia wakati amezikwa na hawezi kuwajibu watazidi kupoteza sana kisiasa..watu wanaona kwa kiasi gani hawana busara..refer maneno ya Lumumba sio yangu na najua anasema.ukweli.
 
Ni suala la muda tuu utajua hujui
 
PLO ni mweupe Labda kwa nyie msiofuatilia masuala ya nje ya TZ.
Alipewa kuongoza Kitengo cha PCCB ya Kenya akaharibu vibaya CV yake ikaishia hapo ndio maana hawezi kugombea hata u MCA huko kwake.
Anawachanganya mazuzu na vocabulary za kumeza lakini utendaji F
 
mwenye chuki binafsi ni marehemu dikiteta magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…