Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Tokea lini ukaipenda chadema, acha ifeHuyu anaiua Chadema bila kujijua au kwa makusudi kisha akimbilie ACT wazalendo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tokea lini ukaipenda chadema, acha ifeHuyu anaiua Chadema bila kujijua au kwa makusudi kisha akimbilie ACT wazalendo!
Mkuu kamsikilize tena kweny ishu ya corona alivyoongea..Profesa kaamua kusifia kila kitu.
..hata masuala ya demokrasia na haki za binadamu anasema Magufuli alikuwa sawasawa.
..kujikinga na corona, Prof anasema msimamo wa Magufuli ulikuwa sawa, isipokuwa vyombo vya habari vya kimagharibi havikumtendea haki Magufuli.
NB:
..Mjadala ungekuwa mzuri kama Lissu na Prof.Lumumba wangehojiwa kwa wakati mmoja, badala ya utaratibu aliotumika wa kuwahoji separately.
Mkuu kamsikilize tena kweny ishu ya corona alivyoongea
Aliulizwa bad decision ya magu akajibu dealing with covid so hakukubaliana na magu hapo
Actually PLO lumumba amejibu vitu kwa usahihi hmna shida hapo
"The agenda of oppositions is to oppose without proposition". PLO Lumumba[emoji1241][emoji3578][emoji3578]
Apoteze mara ngapi? Hana hata akili ya kujua anamshambulia anatoka kanda yenye nguvu sana kisiasa..ina wapiga kura wengi sana. Hata kama kuna watu walikuwa wanam support huko wamepoteza kiongozi wao yeye ni kumshambulia..Subiri arudi huko tena ndio atajua ushawishi wake umeshuka kiasi gani.
Inaonekana hujitambui.wewe unatoka mkoa gani tukupatie miradi iliyojengwa kipindi chake. Jpm hadi kafufua na njia za reli zilizotelekezwa tangu kipindi cha nyerere kama vile Dar hadi Arusha na kwenyewe ni chato? Furaha yako ni kuona wananchi wa chato hawana mradi hata mmoja?.PLO ni Mzushi tu ,anajua accounts zote za JIWE? Kwani Chato Airtport haipo? Burigi Park? Shamba Pori la Santos halipo?
Hyo ya taiwan na sweden ni issue ya kutokuweka wazi statics za covid..hukumsikia Prof akisema Tz ilichukua tahadhari sawa na zile walizochukua Sweden, Taiwan, na South Korea?
..Prof anamtetea Magufuli hata kwenye masuala ya demokrasia na haki za binaadamu.
..Kwa maoni yangu, ametumia nguvu kubwa mno kutetea legacy ya Magufuli kiasi cha kufikia kusema ni halali kwa mtawala kuwa " selectively ruthless. "
..Ukiona mtu analeta misamiati mpya ujue huyo hasemi ukweli, ni sawa na Waswahili wanaposema " muamba ngozi huvutia kwake. "
Mkoa gani hauna uwanja wa ndege?. Hifadhi ilikuwepo tangu enzi za ukoloni na katika hifadhi hiyo kulikuwa na majangili ya kila aina hadi kupelekea baadhi ya wanyama kutoweka. Katika kipindi chake ni miji mingi tu kwasasa imewekewa taa za bararani. Hakuna uwanja wa mpira uliokwisha jengwa kule. Cha mwisho nakusihi uache uongo Mungu anakuona.Huyo mkenya Yuko obsessed na magufuli kiasi kwamba akiambiwa magufuli ameweka hifadhi ya wanyama, uwanja wa ndege, uwanja wa mpira, taa za barabarani kijijini na kujenga ikulu huko hawezi kuelewa chochote zaidi ya kutupia mijineno ya uongo ya kiingereza Cha wachawi anachobumba. Mpuuzi kabisa. Atuache
Kwanini wewe unamwanudu lisu halafu unauliza swali? Ni suala la muda tu siku moja wewe na lisu wako mtajilaumu kwa kitendo chenu cha kushambulia wananchi wa geita na kanda ya ziwa kwa ujmla. Mtu yeyote mwenye nia na doto za kutaka kuwa kiongozi hatakiwi kuwa mbaguzi.Kuabudu mtu inakusaidia nini?
Hyo ya taiwan na sweden ni issue ya kutokuweka wazi statics za covid
Ishu ya haki za binadam kuna haki gani umeikosa hapa mkuu au unaevidence yoyote kuhusu haki za binadam zizovunjwa???
Kumbe humu wote wanaochangia ni malofa,, Hivi Africa nzima inalia kumpoteza the African Boy lakini chadema na rais wao zuzu Lissu bado wanaonyesha kuwa na chuki na maendeleo ya Tanzania hivi tuwaeleweje nyie wapuuzi?? Kisiasa mmekufa kabisa na hata hao wafadhili wenu mabeberu itabid watafute njia nyingine kwani kusema ukweli Magu kawaamsha watanzania na kwamba nia zenu za kuuza nchi na rasilimali zao kwa mabeberu ziko wazi hata watoto wa darasa la tano wanaona,, Mmeisha na hamna pa kuanzia hata mkawaita kina Halima Mdee ati the COVID 19 yaani hamna hata lugha ni pesa tu muuze nchi kwa mabeberu,,, Haitatokea uzeni lotion za ma-gays kusukumana choo huko Ubelgiji ila msizilete TanzaniaLumumba hana mabadiliko yoyote aliyowahi kuchangia katika uchumi wake na uchumi wa Afrika licha Dunia, ukimsikiliza unachokiona ni maneno yakiingereza yaliyopakwa Nakshi. Mazingira ya Chato miaka mitano Leo hii kwa msomi mzalendo anaweza kutetea kilichofanyika? Lakini najiuliza lini alifika chato? Kwa ninavyomfahamu hakuna alipokanyaga bila media kuwa nyuma yake maana si kwa mbwembwe hizo.
Mfuatilie Lumumba kwenye uchaguzi wa Kenya uliopita utajua who his Lumumba
PLO ni Mzushi tu ,anajua accounts zote za JIWE? Kwani Chato Airtport haipo? Burigi Park? Shamba Pori la Santos halipo?
Tundu lissu kachezea upper-cuts za hoja hahaa!!
Wengine wanakwepa kutaja TunduShaka Ssali na siyo Shaka Zullu na Tundu Lissu na siyo Tindu Lissu.
Acha ujuaji mara ngapi Plo ameenda kinyume na Magufuli, fuatilia mitazamo yake kuhusu koronawahenga walisema kila mwamba ngoma huvutia kwake na ndicho alichofanya Prof Lumumba huyo ni teja kwa mwendazake hasikii haoni kila hoja ya ubaya wa mwendazake huitwist vizuri na mark up.