Plot4Sale Plot for sale at Kiluvya

Plot4Sale Plot for sale at Kiluvya

Hadi next week kama hujapata mteja nitafute .
Mil. 5.5 itapendeza
nipe iyo hela nikupatie 20x20 kifuru umeme mpaka kiwanjani maji yapo ya kutosha, nyumba zimejengwa za kutosha tena za kisasa naghorofa zakutosha, barabara mpaka uwani!
 
nipe iyo hela nikupatie 20x20 kifuru umeme mpaka kiwanjani maji yapo ya kutosha, nyumba zimejengwa za kutosha tena za kisasa naghorofa zakutosha, barabara mpaka uwani!
Kifuru ndo wapi?
Mi nataka iwe along Morogoro Road.
Huduma za kijamii ni muhimu lkn hata kama pamejengeka kama U.S.A bila kupimwa sinunui.

Sent from my VFD 1100 using JamiiForums mobile app
 
a497c00f170c13b6f3bcea6008323efa.jpg

Mchoro huu hapa chini ya mill7.5 hapauzwi
 
nipe iyo hela nikupatie 20x20 kifuru umeme mpaka kiwanjani maji yapo ya kutosha, nyumba zimejengwa za kutosha tena za kisasa naghorofa zakutosha, barabara mpaka uwani!
Mkuu kifuru napapata,nina milioni 4 je unaweza nisaidia kama mdogo wako
 
a497c00f170c13b6f3bcea6008323efa.jpg

Mchoro huu hapa chini ya mill7.5 hapauzwi
Kama ni mchoro huo, basi plot yako siyo 46m kwa 36m, ila vipimo sahihi itakuwa, 46m, 20m, 33m na 20m. Hivyo basi ukubwa wa plot umepungua kulingsnisha na Tangazo lako.
 
Back
Top Bottom