Plot4Sale Plot for sale at Kiluvya

Plot4Sale Plot for sale at Kiluvya

Kama ni mchoro huo, basi plot yako siyo 46m kwa 36m, ila vipimo sahihi itakuwa, 46m, 20m, 33m na 20m. Hivyo basi ukubwa wa plot umepungua kulingsnisha na Tangazo lako.

Mkuu mbona kimya tena
 
majuzi nilikua nikitaka namba nikutumie inbox nikachemka sijuwi umeifanyaje
nikakuomba uje inbox ukapiga kimya

kama vip nitumie inbox namba zako
 
a497c00f170c13b6f3bcea6008323efa.jpg


Mchoro huu hapa chini ya mill7.5 hapauzwi

mawasiliano njoo inbox
 
Hapo kwa omary ni mbele ya njia panda ya kwa Sumae au ni nyuma?
 
Kesho nitapita maeneo hayo mkuu, utakuwa n'a muda unipeleke ?
Wewe unaonekana mswahili kweli.
Unaahidi kwenda kuona kiwanja, Kisha siku ya miadi unapotea.

Ama haukua na hela kipindi hicho
 
upande wa.kulia kwako

bado kipo wakuu

wakuu karibuni plot bado iko

bado hapajauzwa wakuu

Hapo kwa omary ni mbele ya njia panda ya kwa Sumae au ni nyuma?

Wewe unaonekana mswahili kweli.
Unaahidi kwenda kuona kiwanja, Kisha siku ya miadi unapotea.

Ama haukua na hela kipindi hicho

Mbele ya njiapanda ya Sumaye


Multiple IDs????
 
Back
Top Bottom