Bosspraise
Member
- Feb 10, 2020
- 98
- 74
- Thread starter
- #21
Goba inavyojengwa hovyo hovyo sishauri mtu kwenda kuwekeza pesa zake huko. Ni mtaa ambao after 10 years
Hamna kitu kama hicho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goba inavyojengwa hovyo hovyo sishauri mtu kwenda kuwekeza pesa zake huko. Ni mtaa ambao after 10 years
Ni wapi kuzuri kuwekeza?Goba inavyojengwa hovyo hovyo sishauri mtu kwenda kuwekeza pesa zake huko. Ni mtaa ambao after 10 years inakua ni uswahilini.
After 10 yrs Mbagala na Mwananyamala wakajifunzeGoba inavyojengwa hovyo hovyo sishauri mtu kwenda kuwekeza pesa zake huko. Ni mtaa ambao after 10 years inakua ni uswahilini.
Huwezi fananisha mbagala mwananyambala na goba mkuuAfter 10 yrs Mbagala na Mwananyamala wakajifunze
Inategmea unataka kuwekeza kwenye kitu gani mkuu hotel lodge nyunba za kupanga apartmentsNi wapi kuzuri kuwekeza?
Kwenye nyumba za kupangaInategmea unataka kuwekeza kwenye kitu gani mkuu hotel lodge nyunba za kupanga apartments
Yes hiyo ni kweliUsininue plot sehemu isiyo pimwa, narudia
Maenene kwa ajili ya nyumba za kupanga yapo mengi lkn pia itategemea wewe unataka kuwatarget wateja gani hata goba unaweza kujenga za kupnga kuna market sanaKwenye nyumba za kupanga
Ndio barabara ipo na magari yaweza kupishana kiwanja kimepimwa ndio tunaweza kushare surveyed sheetIpo barabara ya moja kwa moja kwa kutumia Gari mpaka kiwanja kilipo?, Hiyo barabara ina ukubwa wa kuweza magari mawili kupishana? Barabara jirani za kuzunguka huo mtaa zina sehemu rasmi za kuingilia na kutoka?
Umesema kiwanja kimepimwa una approved survey plan ya hapo?