Hapa boss inategemea na aina ya mzigo kama ni mzigo wa kawaida gharama yake ni kila kg 1 = 12.5 usd discount ipo kulingana na uzito na idadi ya transaction kilakitu pamoja na kodi vinahusika kwa gharama hiyoGharama ya kusafirisha mzigo wa kilo kumi ni bei gani? Je inahusha pamoja na kodi za TRA?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Asante kwa jibu zuri.Hapa boss inategemea na aina ya mzigo kama ni mzigo wa kawaida gharama yake ni kila kg 1 = 12.5 usd discount ipo kulingana na uzito na idadi ya transaction kilakitu pamoja na kodi vinahusika kwa gharama hiyo
Sorry, gharama ya kusafirisha mzigo unalipia before au after mzigo kufikaKwamizigo chini ya kg 1 tunachaji kwa kg 1
Sawa,Kwamizigo chini ya kg 1 tunachaji kwa kg 1
Simu gharama zake ni tofauti na mizigo mingine zenyewe zinachajiwa kwa full box na bila box, karibu sana.Sawa,
Simu 4 hazifiki hata hata uzito wa kilo moja zote kwa ujumla. Hopefully gharama za simu zote jumla ni hiyo US$ 12.5 mpaka na kodi humo humo.
Ningekua wewe ningeweka hizo Bei kwa box na bila box,Simu gharama zake ni tofauti na mizigo mingine zenyewe zinachajiwa kwa full box na bila box, karibu sana.
Mbona sasa simu inakuwa bei zaidi kuliko hata huo mzigo wa kilo moja.Full box ni 20 usd na unbox ni 15 usd