Pre GE2025 PM Majaliwa: Rais Samia ni Tiba ya Maendeleo, hakuna mbadala

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tatizo ni la wasifiaji. Hawasifii kwa udhati. Kuelekea uchaguzi mkuu watajitokeza wengi kumsifia ili waonekane wako naye ila wanafanya hivyo kwa maslahi yao binafsi.
Bahati mbaya maza naye yupo busy kuiba mali za bara anapeleka Ugunja kwa ndugu zake, miradi kibao imesisima hazina hakuna fedha
 
Katelephone huyu huyu aliyesema Magufuli ni mzima wa afya ?

Kumuamini huyu jamaa ni kuendelea kuwa zezeta!!
 
Ulitegemea huyo chawa aongee tofauti na hivyo?
 
Muda wa kampeni umefika.
Lazima asifike sana Kwa wanachama wote.
Time Will Tell
 
Ni mjinga na mpumbavu ndiye anaweza kumfananisha mgawa pesa na kibarua! Pesa anazoshika Samia ni za kodi zetu ambazo zinatakiwa zitumike kwa maendeleo yetu watanzania ni si vinginevyo, kuwataka tusiowapa kodi zetu watuletee maendeleo ni ujuha na wehu, yaani watoe pesa mifukoni mwao wajenge shule! Ni wazo la kijinga na hata yeye Majaliwa hana uwezo huo wa kuiendesha nchi kwa mshahara wake.
 
Jikite kwenye hoja ya Samia kuleta maendeleo acha porojo za chuki.

View: https://www.instagram.com/p/DGfYoohNZDr/?igsh=OTJheW13OHVycHpv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…