Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Bank kuu kama msimamizi wa sera kuna wakati akitaka mfumuko wa bei uwe chini kwenye fedha tu achilia mbali dhahabu wanatumia ligwidipaper zake za kupunguza fedha za kwenye mzunguko ndani ya nchi.
Sasa leo hii kwa Bank Kuu wamesababisha wachimbaji wadogo wengi wanufaike sana kwaajili ya ununuzi wa Dhahabu na kama nchi mpango ule dira yake umetolewa na Daktari Samia Suluhu Hassan tunataka tuendele na jambo hili la kununua dhahabu hata iwe nyingi na nyingi ili tulingane na mataifa mengine yalioshanunua dhahabu, kwahiyo ni mambo ya kawaida na si mambo ya mtaani ni mambo ya kisera
Soma Pia: Benki Kuu ya Tanzania: Hatuuzi dhahabu kufadhili miradi ya serikali
Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo bungeni, Dodoma alipokuwa akihitimisha mjadala wa hotuba ya ufunguzi ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan.