PM Mwigulu Nchemba: Uuzaji wa akiba ya Dhahabu ni utaratibu wa kawaida

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Bank kuu kama msimamizi wa sera kuna wakati akitaka mfumuko wa bei uwe chini kwenye fedha tu achilia mbali dhahabu wanatumia ligwidipaper zake za kupunguza fedha za kwenye mzunguko ndani ya nchi.

Sasa leo hii kwa Bank Kuu wamesababisha wachimbaji wadogo wengi wanufaike sana kwaajili ya ununuzi wa Dhahabu na kama nchi mpango ule dira yake umetolewa na Daktari Samia Suluhu Hassan tunataka tuendele na jambo hili la kununua dhahabu hata iwe nyingi na nyingi ili tulingane na mataifa mengine yalioshanunua dhahabu, kwahiyo ni mambo ya kawaida na si mambo ya mtaani ni mambo ya kisera

Soma Pia: Benki Kuu ya Tanzania: Hatuuzi dhahabu kufadhili miradi ya serikali

Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo bungeni, Dodoma alipokuwa akihitimisha mjadala wa hotuba ya ufunguzi ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Your browser is not able to display this video.
 
Mbona huko nyuma hamkuwahi kuuza? Na mkiuza, tatizo likabaki palepale?
Kiti Cha urais , ubunge, udiwani mlivyokalia sio vya kwenu. Mtateseka sana
 
Hakuna coordination kwenye hii serikali haramu; kila mmoja anasema lake! Hii ni dalili ya viongozi kuchanganyikiwa.
 
Kauli za kupingana.BoT wanasema lao na huyu anasema lake.
 
Mwigulu naona anamuiga Hitler na Mugabe style ya masharubu
 
Mbona huko nyuma hamkuwahi kuuza? Na mkiuza, tatizo likabaki palepale?
Kiti Cha urais , ubunge, udiwani mlivyokalia sio vya kwenu. Mtateseka sana
Ametoa sababu za msingi japo pia ni za Kisiasa.

Huko nyuma wapi? Ununuzi wa dhahabu umeanza mwaka 2021 au 22 baada ya agizo la Magufuli kama njia ya kutunza thamani ya pesa.

Hata hivyo amesema bei imepata hivyo Ile ziada wanauza Ili wanunue nyingine na watumie pesa kwenye mambo mengine pia provided minimum requirements ipo kadiri ya sheria inavyotaka.
 
Kinachoshangaza kwenye hii serikali ni kuwa kila mzungumzaji anayekuja lazma taarifa atakayoitoa itapingana na ya mwenzake aliyetangulia
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akihitimisha Hoja ya kujadili Hotuba ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Bungeni wakati wa ufunguzi wa Bunge la 13, Bungeni jijini Dodoma, Januari 30, 2026.





​
 
Ni kweli bei ya dhahabu umepanda soko la Dunia ni 350,000 ila hii sio sababu ya kuuza hazina ya nchi. Akiba imeanzwa kuwekwa miaka 4 tayari mshaitoa kuuza. Mataifa makubwa wameanza kutunza akiba tangu 1949 na hawajawi kuuza
 
Mambo ya kijinga kabisa, Nchi haipo hata top 30 ya nchi zenye dhahabu nyingi Afrika, achilia mbali duniani, eti inauza akiba yake! Hao Marekani wangeamua kuuza walikuwa na hasara gani? Nchi imekuwa ya hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…