Pm za wadada ni kipimo cho utulivu wetu!

Mwanamke kutongozwa ni jambo la kawaida sana na inashangaza mtoa mada kuona ni kitu cha ajabu
Ni wale wanaopata mitongozo kwa kuotea ndo maana anaona ajabu. [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Jesus is my saviour and a friend
 
Inawezekana kweli ila nahisi tu kashaweka mind mbaya kichwani kuwa kila mtongozaji ni mla k na kusepa. Anasahau kuwa ndoa zilianza na mitongozo kama iyo anayokutana nayo.

Ayubu 22:21
 
Hii ni kwasababu kila mdada anapotupia Uzi kwenye jukwaa la MMU lazima akutane meseji za mtongozo pm zaidi ya moja.
Kuna baadhi ya wanaume wapo hapa kwaajili ya kuvizia k tu.
Samahani sana naomba kujua pm ni kitu gani

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hii ni kwasababu kila mdada anapotupia Uzi kwenye jukwaa la MMU lazima akutane meseji za mtongozo pm zaidi ya moja.
Kuna baadhi ya wanaume wapo hapa kwaajili ya kuvizia k tu.
Hujafundwa wewe !! kutongozwa ni siri ya mtongozaji na mtongozwaji
 
Hii ni kwasababu kila mdada anapotupia Uzi kwenye jukwaa la MMU lazima akutane meseji za mtongozo pm zaidi ya moja.
Kuna baadhi ya wanaume wapo hapa kwaajili ya kuvizia k tu.
mwanamke kutongozwa is direct proportional na mwanaume kutongoza

find the value of "K"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni kwasababu kila mdada anapotupia Uzi kwenye jukwaa la MMU lazima akutane meseji za mtongozo pm zaidi ya moja.
Kuna baadhi ya wanaume wapo hapa kwaajili ya kuvizia k tu.
Pata NOTES za masomo ya BLOG kwa lugha ya Kiswahili kwa bei ya OFFER!!!
Masomo yapo saba (pdf), kila moja Tsh 2500, au bei ya jumla Tsh 10,000.
Wahi sasa upate ujuzi wa kutengeneza pesa kupitia BLOG!
Piga | WhatsApp kwa 0713469213
 
Back
Top Bottom