kotelyimola
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 1,459
- 1,506
kunguru hafugikiacha tu ase eti kusafiri kwangu naona keshaanza mambo yake daah! Naumia sanaa, sjui anataka mwengne wa hapa hapa au!
Mpumbavu siyo tusiYaani Leo sijisikii kutukana kbsa, kwanza ni ushamba, lete hoja acha utoto wa kujifunza kutamka matusi hapa.
KUTONGOZA ni ujinga? basi wanaume mpaka aliyekuoa kama kweli, maaana ssiamini km umeoelewa maana waischana wa dar na ndoa sawa na tajiri na mbingu.Nenda shule kasome wewe acha ujinga
Kutongoza hovyo ni ukosa akili au ni sawa na kumkabidhi shetani akushikie akili zako.KUTONGOZA ni ujinga? basi wanaume mpaka aliyekuoa kama kweli, maaana ssiamini km umeoelewa maana waischana wa dar na ndoa sawa na tajiri na mbingu.
kumbe mnatongozwa ili mliwe? mbona hamuishi, maana sifa ya kinacholiwa huwa kinaisha, MONICC aliye kuoa, anakukula au anakugegeda tu?Kutongoza hovyo ni ukosa akili au ni sawa na kumkabidhi shetani akushikie akili zako.
Mwenye akili inayoongozwa na Mungu kutongoza mwanamke mmoja tu kwaajili ya kula.
Hahahahaha! Mbavu zangu mie jamaniiiiii.Blue: Wanaume wasipovizia mademu ili wawatafune, unataka wavizie mitetea au mbuzi??
Red: Aliyekuambia mademu wa JF hawako mitaani ni nani? Au unadhani mademu wa JF tukikutoa wewe wako sayari ya Mars??
In other words, Brenda amedanganya kwa kusema mnatongozwa.
Sasa hivi haziunguzi tena bibie
Blue: Wanaume wasipovizia mademu ili wawatafune, unataka wavizie mitetea au mbuzi??
Red: Aliyekuambia mademu wa JF hawako mitaani ni nani? Au unadhani mademu wa JF tukikutoa wewe wako sayari ya Mars??[/QUOTE
Mkuu relax