KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,517
Sasa tujenge yajayo,kesho tukutane Samaki Samaki au vipi?naomba nifahamishe muda gani utapendelea,niko serious tafadhali.Usijali nimekusamehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa tujenge yajayo,kesho tukutane Samaki Samaki au vipi?naomba nifahamishe muda gani utapendelea,niko serious tafadhali.Usijali nimekusamehe
Tena aje without......haaaaa @aprin tufanye mpango tuende Goba tena lol
Naomba niku PM unifundishe namna ya kutongozaWanajamvi mambo zenu.
Nimegundua jukwaa hili limejaa wanaume wasio na mtazamo wowote zaidi ya ngono.
wanaume wapo kwaajili ya kuvia mademu
Ukifuatilia PM za wadada wanachangia humu utaona jinsi zinavyofurika meseji za mitongozo.
najiuliza kwanini ukimbilie huku? Huko mtaani hamuwaoni?
Mpaka Leo bado kuna wanaume madomo zenge?
Emu nisaidieni shida yenu nini hasa? Au niwafundishe namna ya kutongo.za?
Shule nimemaliza, ntaka nianze shule ya kutongoza. Usiogope kusema tuition feeMaliza shule kwanza mambo haya utayakuta tu
Unajilengesha halafu unadengua.Rudi darasani wewe unachelewa kipindi
si ndio mana naww ukapata wako humuhumu jf halafu monica acha kutuchosha bana mada uloanzisha mda mfup uloisha haijaisha ushaleta nyingine ndio mume kusafiri amaWanajamvi mambo zenu.
Nimegundua jukwaa hili limejaa wanaume wasio na mtazamo wowote zaidi ya ngono.
wanaume wapo kwaajili ya kuvia mademu
Ukifuatilia PM za wadada wanachangia humu utaona jinsi zinavyofurika meseji za mitongozo.
najiuliza kwanini ukimbilie huku? Huko mtaani hamuwaoni?
Mpaka Leo bado kuna wanaume madomo zenge?
Emu nisaidieni shida yenu nini hasa? Au niwafundishe namna ya kutongo.za?
Mfuge huyo huyo uliyempata hapa JF....Nafuga mbwa tatu nyumbani kwangu zinakula vizuri kuliko kula yako ukitaka njoo nawewe nikufuge.
Katafute kazi ufanye huna ajira ya kukupa kipato.Nafuga mbwa tatu nyumbani kwangu zinakula vizuri kuliko kula yako ukitaka njoo nawewe nikufuge.
si ndio mana naww ukapata wako humuhumu jf halafu monica acha kutuchosha bana mada uloanzisha mda mfup uloisha haijaisha ushaleta nyingine ndio mume kusafiri ama
Wanajamvi mambo zenu.