PM za wadada wengi wa MMU zimejaa meseji za mitongozo

Wanajamvi mambo zenu.

Nimegundua jukwaa hili limejaa wanaume wasio na mtazamo wowote zaidi ya ngono.

wanaume wapo kwaajili ya kuvia mademu

Ukifuatilia PM za wadada wanachangia humu utaona jinsi zinavyofurika meseji za mitongozo.

najiuliza kwanini ukimbilie huku? Huko mtaani hamuwaoni?

Mpaka Leo bado kuna wanaume madomo zenge?

Emu nisaidieni shida yenu nini hasa? Au niwafundishe namna ya kutongo.za?
Naomba niku PM unifundishe namna ya kutongoza
 
Tatizo lako huna ajira ya kudumu, ukishapata ajira utatupumzisha na threads zako zisizo na kichwa wala miguu.
 
Nafuga mbwa tatu nyumbani kwangu zinakula vizuri kuliko kula yako ukitaka njoo nawewe nikufuge.
 
Wanajamvi mambo zenu.

Nimegundua jukwaa hili limejaa wanaume wasio na mtazamo wowote zaidi ya ngono.

wanaume wapo kwaajili ya kuvia mademu

Ukifuatilia PM za wadada wanachangia humu utaona jinsi zinavyofurika meseji za mitongozo.

najiuliza kwanini ukimbilie huku? Huko mtaani hamuwaoni?

Mpaka Leo bado kuna wanaume madomo zenge?

Emu nisaidieni shida yenu nini hasa? Au niwafundishe namna ya kutongo.za?
si ndio mana naww ukapata wako humuhumu jf halafu monica acha kutuchosha bana mada uloanzisha mda mfup uloisha haijaisha ushaleta nyingine ndio mume kusafiri ama
 
acha tu ase eti kusafiri kwangu naona keshaanza mambo yake daah! Naumia sanaa, sjui anataka mwengne wa hapa hapa au!
 
Wanajamvi mambo zenu.

Nimegundua jukwaa hili limejaa wanaume wasio na mtazamo wowote zaidi ya ngono.

wanaume wapo kwaajili ya kuvia mademu

Ukifuatilia PM za wadada wanachangia humu utaona jinsi zinavyofurika meseji za mitongozo.

najiuliza kwanini ukimbilie huku? Huko mtaani hamuwaoni?

Mpaka Leo bado kuna wanaume madomo zenge?

Emu nisaidieni shida yenu nini hasa? Au niwafundishe namna ya kutongo.za?

  1. Marunde
    Hi monica i love u so much
    Yesterday at 10:05 PMReport
    LikeComment
  2. K
    kagiye
    naomba namba zako
    Apr 19, 2016Report
    LikeComment
    1. Molembe likes this.

  3. donbeny
    Hi Moniccca ,send me some pic of the event!!!
    Apr 19, 2016Report
    LikeComment

  4. sam2000
    love the triple C in your name
    Mar 30, 2016Report
    LikeComment
 
Back
Top Bottom