PM za wadada wengi wa MMU zimejaa meseji za mitongozo

PM za wadada wengi wa MMU zimejaa meseji za mitongozo

Kama na wewe ulipata humu humu, huo wivuu ili na wenzio wasipateee.
Aliekwambia uolewe nani ona sasa hupati tena mitongozoooo. Poleeeeh
 
Bas acha niyamalize monica ntafute njoo posta mnara wa askari saa tisa nkukute pale mi takua nimebeba chungwa narirusha rusha utanijua nawe naomba nunua muhogo uwe umeushika ili tuonane
 
Bas acha niyamalize monica ntafute njoo posta mnara wa askari saa tisa nkukute pale mi takua nimebeba chungwa narirusha rusha utanijua nawe naomba nunua muhogo uwe umeushika ili tuonane
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji9] [emoji9]
 
Yaani ule mtongozo wa juzi ndo umeamua kuja kunianika humu LOL!
 
Wewe Monica kuwa na staha kidogo hili jukwaa la siasa?? Ama la Hoja Mchanganyiko?? Aisee usizibie watu ridhiki zao ukija huku ni "Stress Free" Ritz na Rejao wanafahamu maana ya matumizi na majukwaa yake sio kukurupuka tuu mfano mtu unakwenda lile jukwaa la Watu wazima halafu unalalamika watu wanaweka picha za utupu ngachoka kabisa........ Jukwaa linaendana na thread ukienda chit chat full utani then unachukia. ukienda celebrity ooohh hamna kazi sasa thread zinakwendana na jukwaa bana hebu mtuache tupumue MMU full kutongozana ruksa.... ila ukinitongoza jukwaa la siasa sitakuelewa
Sasa vipi majambo?siku nyingi mimi NAKUZIMIA au vipi?
 
Back
Top Bottom