Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kama una mke tulia usihangaike kumsaliti.wewe changia kwenye majukwaa mengine kama siasa n.k.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji9] [emoji9]Bas acha niyamalize monica ntafute njoo posta mnara wa askari saa tisa nkukute pale mi takua nimebeba chungwa narirusha rusha utanijua nawe naomba nunua muhogo uwe umeushika ili tuonane
HahahaPia unaweza jikuta unamtongoza hata Dadako
Zile zilikuwa fix nadhani
hahaha! Mie zangu ni wakati wa kugegeda otherwise weatdream.Wewe haupo kwenye...zako?
Aliyekudanganya upepo unapimwa kwa speed meter ni Nani?
Aliyekudanganya upepo unapimwa kwa speed meter ni Nani?
Dah mie nakumbuka tu Goba. Sijui tutarudi lini tena.
Sasa vipi majambo?siku nyingi mimi NAKUZIMIA au vipi?Wewe Monica kuwa na staha kidogo hili jukwaa la siasa?? Ama la Hoja Mchanganyiko?? Aisee usizibie watu ridhiki zao ukija huku ni "Stress Free" Ritz na Rejao wanafahamu maana ya matumizi na majukwaa yake sio kukurupuka tuu mfano mtu unakwenda lile jukwaa la Watu wazima halafu unalalamika watu wanaweka picha za utupu ngachoka kabisa........ Jukwaa linaendana na thread ukienda chit chat full utani then unachukia. ukienda celebrity ooohh hamna kazi sasa thread zinakwendana na jukwaa bana hebu mtuache tupumue MMU full kutongozana ruksa.... ila ukinitongoza jukwaa la siasa sitakuelewa