Sonko Jr.
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 806
- 320
Unamaanisha hauna sababu ya kuzikana..ila kiuhalisia hauna sababu ya kuzikubali hah hahMi natumia moniccca hizo nyingne zitafutieni PA kwenda, hata hivyo hata kama zingekuwa zangu kwanini nizikane?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha hauna sababu ya kuzikana..ila kiuhalisia hauna sababu ya kuzikubali hah hahMi natumia moniccca hizo nyingne zitafutieni PA kwenda, hata hivyo hata kama zingekuwa zangu kwanini nizikane?
Mi natumia moniccca hizo nyingne zitafutieni PA kwenda, hata hivyo hata kama zingekuwa zangu kwanini nizikane?
Muulize yeye
Hata kama ninazo kumi wew haikuhusu..kakojoe ukalale usije chelewa shule kesho kisa moniii
Mpe hi chiwaso a.k.a monicca 2, mwambie usiku mwemaKwa kawaida huwa sibishani na mambumbumbu like you, right?
Umemuona mhusika alivyokuwa mdogo kama pilitonNgoja tusubiri report ya mshana
Wewe mme umempata humu kwani mitaani kweli nyani haoni kundule
Teh Teh dish lilisha yumba huyu....Vipi mbegu za mume wako zimeacha kukuunguza
Hili ndo jibu murua kabisa mkuu...asante.Blue: Wanaume wasipovizia mademu ili wawatafune, unataka wavizie mitetea au mbuzi??
Red: Aliyekuambia mademu wa JF hawako mitaani ni nani? Au unadhani mademu wa JF tukikutoa wewe wako sayari ya Mars??
Mkuu kama una mke tulia usihangaike kumsaliti.wewe changia kwenye majukwaa mengine kama siasa n.k.Mie hua naogopa kutongoza wanawake wa JF maana siwafahamu na hawatumii majina yao halisi. unaweza kujikuta unamtongoza wife