Mtu yupo honeymoon bado anapata muda gani wa kuandika haya mambo humu. Honeymoon hata simu zinazimwa only 111 ya operator basi. Nina shaka na mchumba/ndoa yake. Sweet Dreams.Sorry wewe si ulisema umepata mchumba hapa JF?
na umeshaolewa ?
si yalianzia PM? au?