PM za wadada wengi wa MMU zimejaa meseji za mitongozo

PM za wadada wengi wa MMU zimejaa meseji za mitongozo

Sorry wewe si ulisema umepata mchumba hapa JF?
na umeshaolewa ?
si yalianzia PM? au?
Mtu yupo honeymoon bado anapata muda gani wa kuandika haya mambo humu. Honeymoon hata simu zinazimwa only 111 ya operator basi. Nina shaka na mchumba/ndoa yake. Sweet Dreams.
 
Alaf sijatongoza jf mda mrefu , umenikumbusha asee, ngoja nianze kaz
 
1. Monica umefuatilia pm za wadada wangapi?

2. Halafu inamana wanaotongoza huko pm ni madomo zege?

3. Na isingekua hiyo pm mume ungempata?

4. Kitu gani kilikufanya kuja kutafuta mume huku JF?
We vale mbona unamuhojii mwenzio hivyoo[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] akikujibu niite
 
Wanajamvi mambo zenu.

Nimegundua jukwaa hili limejaa wanaume wasio na mtazamo wowote zaidi ya ngono.

wanaume wapo kwaajili ya kuvia mademu

Ukifuatilia PM za wadada wanachangia humu utaona jinsi zinavyofurika meseji za mitongozo.

najiuliza kwanini ukimbilie huku? Huko mtaani hamuwaoni?

Mpaka Leo bado kuna wanaume madomo zenge?

Emu nisaidieni shida yenu nini hasa? Au niwafundishe namna ya kutongo.za?
Hahaha, once nliwahi fanya little research and got answers for my questions. Nlika kimalaya Malaya afu kenye avatar nikaekelea demu moja msupuuu. For the time being within an hour sms zinafika ni mob. Some askin me to https://jamii.app/JFUserGuide to night, some askin for handset numbers. After hiyo I wrote my dissertation paper!! Thanks zao maana their stupidity was my capital Hahaha.... Tell them to get a grip motherfuckers.
 
1. Monica umefuatilia pm za wadada wangapi?

2. Halafu inamana wanaotongoza huko pm ni madomo zege?

3. Na isingekua hiyo pm mume ungempata?

4. Kitu gani kilikufanya kuja kutafuta mume huku JF?
1. watatu

2.ndiyo hawana ujasiri mnapokuwa face to face

3.nisingempata

4.niliona nibadiri style tu

moniccca una mahusiano yoyote ni hizi ID?
1. Monicca 2
2. Chiwaso
Zinashabihiana kwenye mambo mengi na always location inasoma moja na kwenye Bio BD inasoma 1st January 1970...zaidi aina ya uandishi inafanana
 
Hivi na baridi hili hiyo ndoa yako ya siku tano ina impact kweli isije kuwa jamaa ameoa kufurahisha wazazi
 
Mi nieleze uko wapi nkufate live kabisa sitaki no ya cm wala kukupm kwanza nkusaminishe
 
Back
Top Bottom