PM za wadada wengi wa MMU zimejaa meseji za mitongozo

PM za wadada wengi wa MMU zimejaa meseji za mitongozo

Naona umejibu kwa kiwango chako cha juu kbsa cha ufahamu wako

Just take a chill pill na uwatangazie wana JF biashara yako halisi kuna kipindi tunachoka na mboyoyo zenu kila siku mnasahau mko kwenye forum tofauti.
Nah hard feelings tho' kama vipi walk it off.
 
Hakuna aliyeolewa bila kutongozwa...kutongozwa ndio mwanzo wakufahamiana chamsingi tu unamwambia mm nimeolewa basi yanaisha!!!pumbavu sana ww.
 
Watu wenye kupenda ngono na wazinzi utawajua tu hata mada zao hapa,mleta uzi hapitishi siku 2 bila kuleta uzi unaohusu mambo ya kugegedana tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Wanajamvi mambo zenu.

Nimegundua jukwaa hili limejaa wanaume wasio na mtazamo wowote zaidi ya ngono.

wanaume wapo kwaajili ya kuvia mademu

Ukifuatilia PM za wadada wanachangia humu utaona jinsi zinavyofurika meseji za mitongozo.

najiuliza kwanini ukimbilie huku? Huko mtaani hamuwaoni?

Mpaka Leo bado kuna wanaume madomo zenge?

Emu nisaidieni shida yenu nini hasa? Au niwafundishe namna ya kutongo.za?

moniccca unasemaje bibie, vipi uko bieze kesho ijumaa mchana ama jioni? Naomba uni-PM tukutane kwa maongezi kidogo.
 
Ndio maana wanaume wanachepuka, kama uko kwenye ndoa halafu muda wote uko busy na mitandao tena ndoa changa kabisa huyo mwanaume utamsikia kwa bi mdogo!
 
24hours kwako n pumba tu haa haa hutak wenzio watongozwe wakat wapo kwaa ajili ya cc wanaume
 
Ni kweli kabisa mkuu haiwezekani mtu na akili zake timamu awe na ujasiri wa kuzungumuza mambo ya hovyo namna au anatafuta umaarufu
Ningekuwa utaahira ungepoteza muda kusoma na kuchangia? Kama ndivyo na wewe mwenyewe ni TAAHI ..RA
 
Hakuna aliyeolewa bila kutongozwa...kutongozwa ndio mwanzo wakufahamiana chamsingi tu unamwambia mm nimeolewa basi yanaisha!!!pumbavu sana ww.
Mpumbavu anakushughulisha hahahaha!
 
Mods kwann huyu asifungiwe kwa matusi ya nguoni?
Au mnamfuatilia moniccca tu?
HALO HALO NYANI HAONI KUNDULE,WEWE UNATUITA MASHOGA TUENDE TUKALIWE TIGO.JE HAYO SIO MATUSI YA NGUONI? AU KUVULIWA PICHU NA KUUNGUZWA NA MBEGU ZA KIUME NI MANENO MATAKATIFU KWAKO? AU UNA GENYE SANA NA UNAONA RAHAAAA KUJIANIKA HADHARANI WEYE SURA GUZO.
 
Madam nia zao ni nzuri, acha kuweka kauzibe kwa wenzako.
 
Wanajamvi mambo zenu.

Nimegundua jukwaa hili limejaa wanaume wasio na mtazamo wowote zaidi ya ngono.

wanaume wapo kwaajili ya kuvia mademu

Ukifuatilia PM za wadada wanachangia humu utaona jinsi zinavyofurika meseji za mitongozo.

najiuliza kwanini ukimbilie huku? Huko mtaani hamuwaoni?

Mpaka Leo bado kuna wanaume madomo zenge?

Emu nisaidieni shida yenu nini hasa? Au niwafundishe namna ya kutongo.za?
Kwa staili hii ya uandishi nina wasiwasi na wewe ni dume unayetumia ID ya kike kutupumzikia..

Ngoja na mimi nije PM kukutongoza.....
 
HALO HALO NYANI HAONI KUNDULE,WEWE UNATUITA MASHOGA TUENDE TUKALIWE TIGO.JE HAYO SIO MATUSI YA NGUONI? AU KUVULIWA PICHU NA KUUNGUZWA NA MBEGU ZA KIUME NI MANENO MATAKATIFU KWAKO? AU UNA GENYE SANA NA UNAONA RAHAAAA KUJIANIKA HADHARANI WEYE SURA GUZO.
Unaimba taarabu kama shoga wa magomeni, dume zima domo limetepeta emu pita kule kapuliwe na wanaume wenzio
 
Back
Top Bottom