Wewe Monica kuwa na staha kidogo hili jukwaa la siasa?? Ama la Hoja Mchanganyiko?? Aisee usizibie watu ridhiki zao ukija huku ni "Stress Free"
Ritz na
Rejao wanafahamu maana ya matumizi na majukwaa yake sio kukurupuka tuu mfano mtu unakwenda lile jukwaa la Watu wazima halafu unalalamika watu wanaweka picha za utupu ngachoka kabisa........ Jukwaa linaendana na thread ukienda chit chat full utani then unachukia. ukienda celebrity ooohh hamna kazi sasa thread zinakwendana na jukwaa bana hebu mtuache tupumue MMU full kutongozana ruksa.... ila ukinitongoza jukwaa la siasa sitakuelewa