PM za wadada wengi wa MMU zimejaa meseji za mitongozo

Naona umejibu kwa kiwango chako cha juu kbsa cha ufahamu wako
Ngoja nikusifie kidogo basiiii,yaani INGEKUWA HIYO PICHA YA AVATAR YAKO,NINGESEMA WEWE NI TOTO ZURI SANA TENA PIPI MTI YA MACHUNGWA LAKINI NA MASHAKA SIO WEWE WEWE UTAKUWA MONICCCA NDALA NDEFU.
 
Unaimba taarabu kama shoga wa magomeni, dume zima domo limetepeta emu pita kule kapuliwe na wanaume wenzio
ASNANTE KWA MATUSI YA NGUONI,NIKAPUMULIWE NA WANAUME WENZANGU,MAANA YAKE MODS UNAWAONA PUNGUANI SAANA.
 
Ngoja nikusifie kidogo basiiii,yaani INGEKUWA HIYO PICHA YA AVATAR YAKO,NINGESEMA WEWE NI TOTO ZURI SANA TENA PIPI MTI YA MACHUNGWA LAKINI NA MASHAKA SIO WEWE WEWE UTAKUWA MONICCCA NDALA NDEFU.
Hahaha ha, pole wee, au nikupe ofa ya kuniona uone kama si Mimi?
 
Hahaha ha, pole wee, au nikupe ofa ya kuniona uone kama si Mimi?
Hapo nitakoma na nitakuheshimu sana tena saana na nitakuomba msamaha na hata sasa nakuomba msamaha kwa UCHOKOZI wangu ila ujue nilikua natafuta mlango wa kuingia kimaongezi nawe.
 
Wewe Monica kuwa na staha kidogo hili jukwaa la siasa?? Ama la Hoja Mchanganyiko?? Aisee usizibie watu ridhiki zao ukija huku ni "Stress Free" Ritz na Rejao wanafahamu maana ya matumizi na majukwaa yake sio kukurupuka tuu mfano mtu unakwenda lile jukwaa la Watu wazima halafu unalalamika watu wanaweka picha za utupu ngachoka kabisa........ Jukwaa linaendana na thread ukienda chit chat full utani then unachukia. ukienda celebrity ooohh hamna kazi sasa thread zinakwendana na jukwaa bana hebu mtuache tupumue MMU full kutongozana ruksa.... ila ukinitongoza jukwaa la siasa sitakuelewa
 
Kumbe unashindwa kupumua! Pole sikujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…