Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani ndo mnalala pamoja?
Ahaa haa....
Kumbe hujastafu...
Mkuu mwaka bado haujaisha..2016 ndo ntakuwa mpendwa
Kuna mtu kasema mnalalanaUmejuaje...labda
mkuu, ujumbe wangu umeuona?
Teh Teh..Karata zishachangwa tayari.. now ni muda wa kugawaHa ha...
Haya bado unasiku chache mkuu...changa karata vzr
Nimeuona mkuu, kwa moyo mkunjufu naufanyia kazi.
Teh Teh..Karata zishachangwa tayari.. now ni muda wa kugawa
Ndo mana haolewi na mwaka 2016 utaisha ataendelea kusaga lami tuuuu!!
Ha ha haa! dogo kama hili limemshinda kuweka kifuani atayaweza ya ndoani??
Ha ha haa! dogo kama hili limemshinda kuweka kifuani atayaweza ya ndoani??
sawa darling shemeji...
Kuna mtu kasema mnalalana
msema kweli mpenzi wa Mungu nimeenda muda si mrefu nimemwambia APUNGUZE HASIRA, mkuu Kwa Aina Hyo Hapana Kwa Kweli