PM zangu zimejaaa

PM zangu zimejaaa

Tatizo umesoma comments na zimekupa hasira ya bure ndo maana umeniambia haya...ila mi sitakumind hebie sema tuu nasikitika hata ww pia umenipa za uso 😂😂😂😂😂 bila kuelewa huo ni utani au kweli...ila fresh haina noma.
Habari Za Asubuhi Mpendwa lilymashy
 
Halafu hii mambo yakutudhalilisha wazee wa PM uwache mara moja.
Kwanza vibinti type yako ni vibayaaaa....sura ngumu.

Muandalie interview huyu!

Hivi ile interview na cute b mliimalizia wapi mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Kumbe Ndo maana mfalme sulemani aliomba HEKIMA kwa Mungu..ina umuhimu
 
Muandalie interview huyu!

Hivi ile interview na cute b mliimalizia wapi mkuu?

Mbona tuliimaliza vyema tu? Mkuu Raimundo si kila mtu ninaweza fanya nae interview!! huyu kama siri za PM anazileta hadharani soon anaibadilisha ID yake.
Jeshi la PM si ndogo kama anavyodhania....
teh teh teh!!!
 
Last edited by a moderator:
Unatuyeyusha tu, yawezekana hata pm zenyewe hukupata. Ni mambo ya dully sykes tu haya.
 
Wengi tulioko JF tunatumia IDs fake (wengi), comments na mitazamo yetu most likely siyo fake kama ID zetu zilivyo.

Utu wa mtu unausoma kwenye maandishi yake (ingawa kuna maandishi fake pia), nikukumbushe kitu kimoja mdogo wangu, wanaume kokote waliko hawapendi mtu mwenye ligi kama zako.

Jifunze kuwasoma utafanikiwa, watu walioko humu ndo hawa hawa walioko mtaani, makazini, makanisani na kwingineko.

Kama baadhi ya wadau walivyoshauri, tunapomwomba Mungu hatumwambii nilitee mume/mke katika mfumo huu, yeye anajibu kadri anavyoona ni sahihi, na huwezi jua inawezekana kaamua kujibu kwa namna ulivyoileta humu, na kama ungejipa muda wa kuchunguza, kwenye hao walioku-PM kuna aliyeletwa na Mungu.

Ushauri mwingine; kuna mtu umemjibu kuwa asubiri kushuhudia kwa sababu ni lazima uwe umepata mtu mwisho wa mwaka 2016, Mungu hapewi timeline, anajibu muda wowote anaoona kwamba unafaa, usilazimishe sana ukajikuta unaangukia mahali ambapo siyo kwa sababu shetani naye anacheza na desparation zetu kutujaribu. Hivyo kuwa makini kwenye machaguo, kwenye maneno yako na kwenye matendo yako pia.

All the best.

Kwa mchanganuo huu, wewe ndio atakufuata PM.
 
Kwa mchanganuo huu, wewe ndio atakufuata PM.

Mkuu mimi nimeoa mkuu, sitamfaa kwa ombi lake.

Nilikuwa tu najaribu kumkumbusha, maana enzi hatujaoa tulikuwa na matarajio mengi kama yake, lakini majibu ya Mungu ni nje ya matarajio yetu, Mungu hapangiwi muda wala mahali pa kukuletea huyo umwombaye.
 
Mkuu mimi nimeoa mkuu, sitamfaa kwa ombi lake.

Nilikuwa tu najaribu kumkumbusha, maana enzi hatujaoa tulikuwa na matarajio mengi kama yake, lakini majibu ya Mungu ni nje ya matarajio yetu, Mungu hapangiwi muda wala mahali pa kukuletea huyo umwombaye.

Ila mkuu ni ukweli usiofichika, mrembo kuwa single ni janga...
 
Ila mkuu ni ukweli usiofichika, mrembo kuwa single ni janga...

Huyo hayuko single, ni vile tu kwenye mahusiano aliyonayo haoni kama kuna ndoa halafu na yeye umri umeenda rafiki zake wote wameolewa/wanaolewa wakati kwake haoni dalili.

Watu wanatofautiana jinsi ya ku-handle hizi pressure, kuna wale hawajali na mara nyingi bahati zinawaangukia wao, kuna wale wanasubiri Mungu aamue huku wakiomba kimya kimya (hawa pia wanafanikiwa).

Kuna wale ambao hawajali, hawaombi huku wakisubiri chochote kitokee, hawa kweli chochote kinaweza kutokea.

Group la mwisho ni la hawa wanaoomba kwa kuutangazia uma, hawa mara nyingi frustration zimefikia kiwango cha juu, maana yake kama kusingekuwa na mitandao ya kuja kuongelea angeweza hata kutembea huku anajiongelesha mwenyewe, hawa wanahitaji msaada zaidi maana ni rahisi hata kuangukia kwenye uhusiano wa kugongwa na kuachwa tena mara nyingi zaidi na kuanza kujiona wana kasoro.

Tumwombee tu na tuelewe situation aliyoko.
 
Back
Top Bottom