Waseme
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,603
- 4,082
He heeee!!! Ulitangaza biashara ili upate wateja sio?? Wateja wamekuwa wengi unalalamika tena?? Biashara ndivyo ilivyo kuna wateja wasumbufu na wenye maudhi, ukitaka ufanikiwe kwa jambo lolote shurti uwe mvumilivu
Hukuwa na sababu ya kutangaza humu kuwa unataka mume watu waje pm afu uje uwatangaze tena ulitaka waje wapi sasa?? Ebu jiulize kwa nini ule uzi wa kwanza watu walikusapoti lakini huu wametoka povu??
Hukuwa na sababu ya kutangaza humu kuwa unataka mume watu waje pm afu uje uwatangaze tena ulitaka waje wapi sasa?? Ebu jiulize kwa nini ule uzi wa kwanza watu walikusapoti lakini huu wametoka povu??