PM zangu zimejaaa

PM zangu zimejaaa

Teh teh..Mpendwa nimekoma kutongoza vitoto..Sasa huyu kumfwata tu pm anakuja kuanzisha uzi..Ningemgonga si angefanya press conference kabisa..

Ha ha ha mpendwa najua jina lako lipo make mme mwema atoka kwa bwana, ni nani hapa kama sio wewe
Hajatangaza kwa nia mbaya, yupo excited haamini kama Mungu angejibu maombi haraka kiasi hicho
 
😂😂😂😂😂alitoa na adress kabisa wakutane wazichape,jf raha sana wajameni

Ha ha ha yani yule jamaa alinchekesha kwakweli, maneno yake hayatoki kichwani kila nkikumbuka nacheka tu
 
Shukuru mungu mimi niliandika hapa kuwa natafuta mke sikupata PM hata moja
 
Kwa bahati mbaya wote hao walitaka wakufanye mchepuko.
 
we ni kinabo kweli mambo ya pm yanaishiaga pm huku umeleta kufanya nini,watu kama nyie ndio mnafanya mpaka tunadharau wanawake,kutongozwa tu umeleta kelele jamani sipati picha ulivyo mana nnavyojua wadada wa kali wenye shepu na akili zao huwezi kuona wakija na vitu kama vyako kujisifu kutongozwa ilhali wanataongozwa na wanaume zaidi ya 12 kwa siku we mwaka mzima watu 24 tu kelele, acha ulimbukeni punguani wewe,na ukipata mwanaume ukakaa nae hata mwezi 1 nakupa mil 100 ma nyie wanaume wenzangu acheni usengerema kuna watu wakutongoza sio haya majini.

Mbona umepanic vepeee...unadaiwa au? Huoni kama inakugharimu kuongea maneno yote hayo kwa mtu usiemjua...hivi una akili kweli 😂😂😂😂
 
Hawa ambao hawatongozwi siku wakija kutongozwa watu hawalali.. na ungeweka picha yako hakuna ata mmoja ambae ange ku pm. Ndo maana kitaa hutongozwi umekuja kutongozwa humu baada ya kuweka promo zako sijui unataka mume sijui bf ata sielewi. Ila jaribu kuendana na wanawake wenzako wa hapa town..tangia wanabalehe wanatongozwa na hawajahi kuja kujigamba hapa.

Siku ukinijua live utatengua kauli yako..siku njema
 
Kuandika tuu hujui sasa nikikujibu si ntakua nakuonea...maana unaweza pia ukawa hujui kusoma..

Km sijui kusoma na kuandika na ww utakuwa huna akili maana ubongo wako unatafsiri kinyume nyume mtu kavaa nguo ww unaona yuko uchi.
Unashida na wachumba na umetangaza wamekuja ww unawaona mabazazi😀😀
 
Back
Top Bottom