Wewe ni kadem kashamba sana. Na utabakia kasingo maza daima dumu. Hakuna mwanaume mwenye akili zake anaweza kuoa ziro brain kama wewe. Hata siri za PM unazileta hadharani za chumbani si utazitungia wimbo kama lady JD?
Au hujui maana ya private message?
Tubu na ungama zambi zako.
Nimesema mimi babu wa wajukuu wa JF.
Mpwa wangu Eli79 unaniuzia kesi nyingi sana ujue, hadi my wife Little Angel alinifuata inbox akaniuliza kulikoni?ukimtania huyo hamtoongea mwaka mzima,haya mambo usichukulie utani watu kama hao wanakuaga na temper na moods za ajabu ajabu,kweli nimeamini mshenga Elli 79 ndoa ni dili
Wewe ni kadem kashamba sana. Na utabakia kasingo maza daima dumu. Hakuna mwanaume mwenye akili zake anaweza kuoa ziro brain kama wewe. Hata siri za PM unazileta hadharani za chumbani si utazitungia wimbo kama lady JD?
Au hujui maana ya private message?
Tubu na ungama zambi zako.
Nimesema mimi babu wa wajukuu wa JF.
Mpwa wangu Eli79 unaniuzia kesi nyingi sana ujue, hadi my wife Little Angel alinifuata inbox akaniuliza kulikoni?
Tatizo umesoma comments na zimekupa hasira ya bure ndo maana umeniambia haya...ila mi sitakumind hebie sema tuu nasikitika hata ww pia umenipa za uso.
Hata mimi nasikitika ulichokileta hapa, sina hasira ila huenda nilichopost kimekuumiza samahan na unisamehe bure
Aiseee wana jf humu ni kiboko..yan usithubutu kusema u are single watakua wageni wako wa ghafla huko kwenye pm..yan jana nimeongea swala la kumuomba Mungu anipe mume 2016,nimepata waume wema kibao huko kwenye pm yan mtu anajiexpress hadi unabaki kucheka...ni nini kuniletea jam huko..afu wana confidence haoo 😂😂😂 hahaha..anyways namba za simu mi sizitaki jaman zitunzeni tuu kwa matumizi yenu ya bdae...wengine kwa text tuu mnaonyesha mlivo mabaazazi kabla hata ya kuwaona...ila ngoja tuu niwatakieni wikend njema.
kwa mtindo huu usalama wa pm zetu upo kweli
Karibu jamiiforum unaonekana mgen humu plz chat at u r own risk vichaa wengHivi mfano ukireread unaweza ona lalamiko hapo..au its just ur negative thoughts..mbona mnapenda kukwaza watu bila sababu..this is just a social media for some refreshments nimeandika thread yangu kwenye mood nzuri,happy with a lil bit of teasing mtu anakurupuka na kuharibu mood yako kwa negative comments. .pipo get over urselves plz