PM zangu zimejaaa

PM zangu zimejaaa

kama nakuona vile ulivyojibuaa had damu ikizunguka mwilini inaonekana...wenye tabia km hizi zako ndo huwa na muonekano wa hivyo usoni.
 
Ila kiukwel kwa jins ulivyoandka apo post yako imekaa kimbeambea hiv au kama mtu usiekua na siri si kila kitu cha kuandka japo we unaona sawa sasa kama umeandka hvyo unaona sawa we siri za chumban utavujisha wew
 
Wewe ni kadem kashamba sana. Na utabakia kasingo maza daima dumu. Hakuna mwanaume mwenye akili zake anaweza kuoa ziro brain kama wewe. Hata siri za PM unazileta hadharani za chumbani si utazitungia wimbo kama lady JD?

Au hujui maana ya private message?

Tubu na ungama zambi zako.

Nimesema mimi babu wa wajukuu wa JF.

Shhhhhhh taratibu pm yako itaanikwa hapa ohooo
 
ukimtania huyo hamtoongea mwaka mzima,haya mambo usichukulie utani watu kama hao wanakuaga na temper na moods za ajabu ajabu,kweli nimeamini mshenga Elli 79 ndoa ni dili
Mpwa wangu Eli79 unaniuzia kesi nyingi sana ujue, hadi my wife Little Angel alinifuata inbox akaniuliza kulikoni?
 
Last edited by a moderator:
hajahhaaaaaaa Pm mi napendaga zinazokuja na ombi la account no na namba za M-PESA
 
Wewe ni kadem kashamba sana. Na utabakia kasingo maza daima dumu. Hakuna mwanaume mwenye akili zake anaweza kuoa ziro brain kama wewe. Hata siri za PM unazileta hadharani za chumbani si utazitungia wimbo kama lady JD?

Au hujui maana ya private message?

Tubu na ungama zambi zako.

Nimesema mimi babu wa wajukuu wa JF.

Hahahaa babu kawasemea wajukuu...ila babu maneno ya vijana umeyajulia wapi ...
 
ulimbukeni mbaya cna asee.ww utakuwa ndgu wa FAIZA FOX kikongwe
 
Tatizo umesoma comments na zimekupa hasira ya bure ndo maana umeniambia haya...ila mi sitakumind hebie sema tuu nasikitika hata ww pia umenipa za uso.

Hata mimi nasikitika ulichokileta hapa, sina hasira ila huenda nilichopost kimekuumiza samahan na unisamehe bure
 
Aiseee wana jf humu ni kiboko..yan usithubutu kusema u are single watakua wageni wako wa ghafla huko kwenye pm..yan jana nimeongea swala la kumuomba Mungu anipe mume 2016,nimepata waume wema kibao huko kwenye pm yan mtu anajiexpress hadi unabaki kucheka...ni nini kuniletea jam huko..afu wana confidence haoo 😂😂😂 hahaha..anyways namba za simu mi sizitaki jaman zitunzeni tuu kwa matumizi yenu ya bdae...wengine kwa text tuu mnaonyesha mlivo mabaazazi kabla hata ya kuwaona...ila ngoja tuu niwatakieni wikend njema.

Shule zikifungwa huwa shida sana humu, kids become free sasa!! Utoto raha kweli. Kila la heri.
 
Nna rafiki yangu ana tabia kama yako UBISHI ila ye kashakubali kutokuolewa coz hakuna me anaependa kubishana
 
kwa mtindo huu usalama wa pm zetu upo kweli

Sidhani kama ni kwa kufiria huko alipo si atatsja ndio maana ni vizuri kuendelea kytumia PM kwa muda umzoee mtu kabla ya kutoa jina la ukweli na namba ya simu hata anuani ya unapoishi.

Ila kuna kipengele humu ambacho mtu haruhusiwi kuja kuongelea na kuweka hadharani anacho andikiana na mwingine kwenye PM. Ukiona hiyo ripoti
 
Kweli ukitaka dhoruba tibua wavulana wa jf!! Teh teh teh teeeeh! Ngoja niongeze juice na popcorn.
 
malaya wa kona bar katongozwa jf mbona tutakoma
 
Hivi mfano ukireread unaweza ona lalamiko hapo..au its just ur negative thoughts..mbona mnapenda kukwaza watu bila sababu..this is just a social media for some refreshments nimeandika thread yangu kwenye mood nzuri,happy with a lil bit of teasing mtu anakurupuka na kuharibu mood yako kwa negative comments. .pipo get over urselves plz
Karibu jamiiforum unaonekana mgen humu plz chat at u r own risk vichaa weng
 
Back
Top Bottom