PM zangu zimejaaa

Acha kunidanganya wewe, mie tangu nijiunge jf sijawahi kupata pm hata moja, huyu dada kajiunga jana tu pm hadi anashindwa kusoma, watu wa jf sio wema kabisa!!
Acha hizo wewe kuna pm zangu 53 hujazijibu.....!
 
Jameni umetaka Mungu akupe mme, umepata hiyo mvua ya baraka iliokuja na mafuriko ya wanaume tena unawaona mabazazi sa unatakaje? Unampa Mungu mitihani na lawama za bure tu
Hajui ndo mwanzo wa mikosi.
 
Kweli binadamu haridhiki... wote mlio mtumia ujumbe mmechorwa sana...
 
sasa ulivyotutangazia kua unaomba upate mume ulitaka mume atoke wapi kama ulitaka atokee instagram ungaandika huko insta ,na kama ulitaka atoke mtaani kwenu ungejitangaza huko mtaani kwenu kama ulikuja kutangaza humu jf sasa ndo utuliee dawa ikuingie wanawake wengine bwana mnalalamikia ujinga ,upuuz uutangaze mwenyewe then ujishaue kua huna shida nao kwenda huko kadeal na mmeo mnawaume ila humu mnajitangaza mko single sasa ukiwa single sisi tukusaidieje kama hutaki utongozwe
 
Hahaa. Ungeongezea 'Mume mwema' kwenye hayo maombi. Ona unapata wa Jf ;D
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…