PM zangu zimejaaa

Sasa wewe ndo wataka kujiharibia mood bureee, mi nmekuuliza hii ni malalamiko au ni story sharing? Au story sharing Hujaelewa maana yake?
Btw kweli It is a social media huwezi kupangia watu what to comment otherwise thread yako uiandike afu uisave tu kwenye draft hapo hautakerwa na mtu
 
lilymashy siku nyingine wakikutokea huko pm malizana nao huko huko. Kuanzishiana thread noma sana dada
 
Last edited by a moderator:
 
Mpaka hapa inaonyesha wewe bado sana!! HUJUI KUTUNZA SIRI, na kwa mwanamke tena wa kiafrika hii ni weaknes kubwa sana. Nawapa pole sana waliokuPM.
 
Ndo mana haolewi na mwaka 2016 utaisha ataendelea kusaga lami tuuuu!!

Hahhahahaa nakuombea mungu akuweke hai..utakua shahidi namba moja nikiolewa hata kwa kucoment au kuona thread yangu mwakani....yan umenipa mzuka wa kuzidi kukuombea kwa mungu uwe hai mwakani..yan mbona mzukaaa ngoja nipige goti sahiv maana naona kama nachelewa.
 

Fanya kama umekwenda widow shopping angalia anaefaa baadae mtumie sms mwangalie anafaa au hafai kama hafai muangalie sencond choice yako. ikiwa wote hawafai basi undelea kutafuta atakae kufaa. Hii ni Jamiiforum kuna jamii za watu tofauti usichukulie kila kitu serious. Jana wengi ya watu akili zao zilikuwa kwenye Kilimanjaro Lager.
 
Huu mwaka umeumaliza vizuri hatimaye umepata pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…