Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe ndo wataka kujiharibia mood bureee, mi nmekuuliza hii ni malalamiko au ni story sharing? Au story sharing Hujaelewa maana yake?Hivi mfano ukireread unaweza ona lalamiko hapo..au its just ur negative thoughts..mbona mnapenda kukwaza watu bila sababu..this is just a social media for some refreshments nimeandika thread yangu kwenye mood nzuri,happy with a lil bit of teasing mtu anakurupuka na kuharibu mood yako kwa negative comments. .pipo get over urselves plz
Jameni umetaka Mungu akupe mme, umepata hiyo mvua ya baraka iliokuja na mafuriko ya wanaume tena unawaona mabazazi sa unatakaje? Unampa Mungu mitihani na lawama za bure tu
Aiseee wana jf humu ni kiboko..yan usithubutu kusema u are single watakua wageni wako wa ghafla huko kwenye pm..yan jana nimeongea swala la kumuomba Mungu anipe mume 2016,nimepata waume wema kibao huko kwenye pm yan mtu anajiexpress hadi unabaki kucheka...ni nini kuniletea jam huko..afu wana confidence haoo 😂😂😂 hahaha....wengine kwa text tuu mnaonyesha mlivo mabaazazi kabla hata ya kuwaona...ila ngoja tuu niwatakieni wikend njema.
ANGALIZO :hii thread nimeandika nikiwa kwenye good mood,happy na utani kidogo..sasa kuna watu ni maarufu kwa kuharibu moods za watu na negative comments zao..plz ukiona huelewi pita kimya kimya coz there is nothing serious hapo.
Na Hufai! hata siri za chumbani utamwaga hadharani.
Mpaka hapa inaonyesha wewe bado sana!! HUJUI KUTUNZA SIRI, na kwa mwanamke tena wa kiafrika hii ni weaknes kubwa sana. Nawapa pole sana waliokuPM.Aiseee wana jf humu ni kiboko..yan usithubutu kusema u are single watakua wageni wako wa ghafla huko kwenye pm..yan jana nimeongea swala la kumuomba Mungu anipe mume 2016,nimepata waume wema kibao huko kwenye pm yan mtu anajiexpress hadi unabaki kucheka...ni nini kuniletea jam huko..afu wana confidence haoo  hahaha..anyways namba za simu mi sizitaki jaman zitunzeni tuu kwa matumizi yenu ya bdae...wengine kwa text tuu mnaonyesha mlivo mabaazazi kabla hata ya kuwaona...ila ngoja tuu niwatakieni wikend njema.
Karibu tena!
Mwanamke unatakiwa uwe na kifua cha uvumilivu na kutunza siri kubwa na ndogo.
Mi ni mwanaume
Ndo mana haolewi na mwaka 2016 utaisha ataendelea kusaga lami tuuuu!!
au kwasababu anaona Avatar ya totoz dodo!! ila huyu limbukeni si bure
We hujawahi tongozwa, sasa kwa kua yamekukuta hongera hadi umekuja kuhadithia.
Aiseee wana jf humu ni kiboko..yan usithubutu kusema u are single watakua wageni wako wa ghafla huko kwenye pm..yan jana nimeongea swala la kumuomba Mungu anipe mume 2016,nimepata waume wema kibao huko kwenye pm yan mtu anajiexpress hadi unabaki kucheka...ni nini kuniletea jam huko..afu wana confidence haoo  hahaha..anyways namba za simu mi sizitaki jaman zitunzeni tuu kwa matumizi yenu ya bdae...wengine kwa text tuu mnaonyesha mlivo mabaazazi kabla hata ya kuwaona...ila ngoja tuu niwatakieni wikend njema.
Namimj natafta mume jamani, nigawie pm moja shost!