Snowpiercer
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 2,358
- 4,263
Kumbe ni kilichojiri sio kilichopo...basii ntakua nna chembechembe za kua na privacy bado...
Si uje pm sasa?
Hapo ndio utaamini kila binadamu ana chembe chembe za ukichaa...! Jf kuna vituko sana soon atawataja ...
msipotongozwa mseme mna mikosi, mkitongozwa ndio haya tunayoyaona....
inaonesha ulikuwa na hamu sana ya kutumiwa PM eeee, mambo ya kawaida hayo mkuu... weekend njema na kwako pia
Nikutakie usiku mwema...umejipinda na comment nzuri..umetisha
Sina cha kukulipa ila natoa shukrani kwa kunikomalia sana leo na thread yangu naona umejitahid sana ku criticise...sema nini mi naomba uwe na moyo huo huo wa kukomalia pia kuzitafuta pesa trust me utakua millionaire in a short period.cheers
Ningelikuwa mpweke ningelikuja ila kwa sasa nina mwenza. Nakutakia upate mume mwema wewe na lilymashy na wote wenye kutafuta wenza wao.
Ngoja na mimi nisali ........emungu niepushe na mwanamke kama huyu mwaka ujao 2016.....hahahaa just a joke lakini
rubii apo umemp ukwel wake kabisaNa Hufai! hata siri za chumbani utamwaga hadharani.
Mi naona upumzike tu sasa.
Kwiiiii kwiiiii kama vipi wataje acha kuleta hadithi huwezi kua timamu eti pm imefurika acheni mbwembwe zenu za matangazo,siku nyingine ulipie matangazo kabisa mnaleta uongo wa kitoto wewe tangaza umri unakata na hakieleweki 😂😂😂😂
Amen. ila zingatia ushauri wangu pia ni muhimu utakusaidia.
Hii thread haito dumu hii kesho itakuwa kama vita ya tatu ya dunia...!
Nasubiri kuona watu wanaambia wakutane wazichape hadharani