PM zangu zimejaaa

PM zangu zimejaaa

Ngoja na mimi nisali ........emungu niepushe na mwanamke kama huyu mwaka ujao 2016.....hahahaa just a joke lakini
 
  • Thanks
Reactions: Art
msipotongozwa mseme mna mikosi, mkitongozwa ndio haya tunayoyaona....

inaonesha ulikuwa na hamu sana ya kutumiwa PM eeee, mambo ya kawaida hayo mkuu... weekend njema na kwako pia

Duuuh umekula nn leo usiku kwani? Unajua sikuelew hahaahaha
 
Nikutakie usiku mwema...umejipinda na comment nzuri..umetisha

Kwiiiii kwiiiii kama vipi wataje acha kuleta hadithi huwezi kua timamu eti pm imefurika acheni mbwembwe zenu za matangazo,siku nyingine ulipie matangazo kabisa mnaleta uongo wa kitoto wewe tangaza umri unakata na hakieleweki 😂😂😂😂
 
Sina cha kukulipa ila natoa shukrani kwa kunikomalia sana leo na thread yangu naona umejitahid sana ku criticise...sema nini mi naomba uwe na moyo huo huo wa kukomalia pia kuzitafuta pesa trust me utakua millionaire in a short period.cheers

Nlikua najibu quote ya mtu mwingine sio wewe, thread itachangiwa tu as long as imepostiwa hapa
 
Ningelikuwa mpweke ningelikuja ila kwa sasa nina mwenza. Nakutakia upate mume mwema wewe na lilymashy na wote wenye kutafuta wenza wao.

Ha ha haa we unatumia njia ngapi kwenda kwako?
 
Ngoja na mimi nisali ........emungu niepushe na mwanamke kama huyu mwaka ujao 2016.....hahahaa just a joke lakini

Ahahhaha nimependa utani wako walahi...ila ujue nini kama tumeigiliziana hivi maana na mm niliomba mungu nae aniepushe na watu kama nyie....hhahaaaha sema jaman na mm nimezidi utani.
 
Kwiiiii kwiiiii kama vipi wataje acha kuleta hadithi huwezi kua timamu eti pm imefurika acheni mbwembwe zenu za matangazo,siku nyingine ulipie matangazo kabisa mnaleta uongo wa kitoto wewe tangaza umri unakata na hakieleweki 😂😂😂😂

Hahahahaa wee mbona unanichekesha hvoo hahahaaa ok nna miaka 25 na huna jinsi ya kuprove kama ni kweli ujue. sijui unataka kujua nn kingine
 
Mentor nae hakosi, ngoja nisubiri
Hii thread haito dumu hii kesho itakuwa kama vita ya tatu ya dunia...!
Nasubiri kuona watu wanaambia wakutane wazichape hadharani
 
Last edited by a moderator:
Ungetuwekea na hayo majina basi ili tuwafahamu hao maboya

Unajua boya ni yule anaetaka kumjua boya mwenzie...unajua nn sijazoea lugha chafu mdomon ila naweza kujifunza kwa ajili yako..afu jaman leo nna mood tukeshe basii...
 
Back
Top Bottom