Teh teh..Nimekoma mkuu..Sirudii tenaUmenivunja mbavu maana ndio alivyoonyesha.
Teh teh..Nimekoma mkuu..Sirudii tena
naomba nije PM.
Hapo bado sisi wagumu tulikuwa hatujakuzukia huko kwenye PM!. Chezea JF wewe!.Aiseee wana jf humu ni kiboko..yan usithubutu kusema u are single watakua wageni wako wa ghafla huko kwenye pm..yan jana nimeongea swala la kumuomba Mungu anipe mume 2016,nimepata waume wema kibao huko kwenye pm yan mtu anajiexpress hadi unabaki kucheka...ni nini kuniletea jam huko..afu wana confidence haoo  hahaha..anyways namba za simu mi sizitaki jaman zitunzeni tuu kwa matumizi yenu ya bdae...wengine kwa text tuu mnaonyesha mlivo mabaazazi kabla hata ya kuwaona...ila ngoja tuu niwatakieni wikend njema.
Jameni umetaka Mungu akupe mme, umepata hiyo mvua ya baraka iliokuja na mafuriko ya wanaume tena unawaona mabazazi sa unatakaje? Unampa Mungu mitihani na lawama za bure tu
Mimi mwenyewe nilimshangaa alivyoijibu nikasema huyu sio bure ana lake hapa tu. Anaonekana yupo boring anatafuta publicity.
Mi ni mwanaume
Hahhahahaa nakuombea mungu akuweke hai..utakua shahidi namba moja nikiolewa hata kwa kucoment au kuona thread yangu mwakani....yan umenipa mzuka wa kuzidi kukuombea kwa mungu uwe hai mwakani..yan mbona mzukaaa ngoja nipige goti sahiv maana naona kama nachelewa.
Karibu tena!
Mwanamke unatakiwa uwe na kifua cha uvumilivu na kutunza siri kubwa na ndogo.