PM zangu zimejaaa

PM zangu zimejaaa

Ha ha sifa ya mke lazima ajue ku control mood. Sasa hata hiyo unashundwa afu unaomba mungu. Majibu ya mungu ni very complicated. Huwa hakupi njia iliyo nyooka. so mambo mengine jiongeze mwenyewe bas
 
utawaponza wanaotaka na wanaotafuta waume kweli.. maana nao wataonekana kama wewe..
 
unavua samaki kwa kutumia kokolo unategemea uvue sato tu...
utavua mpaka mawe.. Jukum lako kuchambua ni samak yupi unamuhitaj.. hope umenielewa namaanisha nini..
 
Aiseee wana jf humu ni kiboko..yan usithubutu kusema u are single watakua wageni wako wa ghafla huko kwenye pm..yan jana nimeongea swala la kumuomba Mungu anipe mume 2016,nimepata waume wema kibao huko kwenye pm yan mtu anajiexpress hadi unabaki kucheka...ni nini kuniletea jam huko..afu wana confidence haoo  hahaha..anyways namba za simu mi sizitaki jaman zitunzeni tuu kwa matumizi yenu ya bdae...wengine kwa text tuu mnaonyesha mlivo mabaazazi kabla hata ya kuwaona...ila ngoja tuu niwatakieni wikend njema.
Hapo bado sisi wagumu tulikuwa hatujakuzukia huko kwenye PM!. Chezea JF wewe!.
 
Jameni umetaka Mungu akupe mme, umepata hiyo mvua ya baraka iliokuja na mafuriko ya wanaume tena unawaona mabazazi sa unatakaje? Unampa Mungu mitihani na lawama za bure tu

....mvua ya wazinzi na mabaradhuli apange appointment ajionee !!
 
Umeonyesha jinsi akili yako ilivyo, umeomba kwa mungu akupe mume, dua yako imejibiwa na unawaona walitumwa NA mungu kuja kukusikiliza Ni mabazazi, umesikika nanutazeekea kwenu...
 
Mimi mwenyewe nilimshangaa alivyoijibu nikasema huyu sio bure ana lake hapa tu. Anaonekana yupo boring anatafuta publicity.

Yani watu hawajui tu humu jf kuna akili za kila aina ukitaka kujua hilo uwe unasoma comments za watu ndio utaelewa akili za watu zinavyotofautiana sasa ukiandika kitu utegemee possitive na negative comments ivi ivi unaweza kujikuta unajiongezea stress tu,ndo mana mimi aku naogopa kushare kitu changu huku naogopa kweli comments za watu zinaweza kunivuruga
 
Hawa ambao hawatongozwi siku wakija kutongozwa watu hawalali.. na ungeweka picha yako hakuna ata mmoja ambae ange ku pm. Ndo maana kitaa hutongozwi umekuja kutongozwa humu baada ya kuweka promo zako sijui unataka mume sijui bf ata sielewi. Ila jaribu kuendana na wanawake wenzako wa hapa town..tangia wanabalehe wanatongozwa na hawajahi kuja kujigamba hapa.
 
Haya sasa et ndo wife materials huyu,siri za ndani kamwaga hadharani kweli mtaolewa kwa hali hii?Au ndo tule tudada???
 
Tehe,kwa hiyo ulitaka pm moja tu??toa hiyo papuchi
 
Hahhahahaa nakuombea mungu akuweke hai..utakua shahidi namba moja nikiolewa hata kwa kucoment au kuona thread yangu mwakani....yan umenipa mzuka wa kuzidi kukuombea kwa mungu uwe hai mwakani..yan mbona mzukaaa ngoja nipige goti sahiv maana naona kama nachelewa.

una miaka mingapi wewe binti? mbona unapenda premier league kiasi hiki?

ebu acha ujinga bana ukijitambua utatambulika.
 
inaonesha ni namna gan usivyojiamin yaan ulivyofuatwa pm unaleta hapa? hivi kungwi wako ni nani? je huyo mume unayemtaka ulitaka akufuate wapi? ok kila la kheri lily
 
Back
Top Bottom