PM zangu zimejaaa

PM zangu zimejaaa

Umelipia tangazo lakin. Eti pm imejaa sasa ulitakaje labda!!! Mbona kuna watu wanasumbuliwa sana ila wapo kimya.

Ulimbukeni kazi kwel. Ama hujawah tafutwa?

Nikikujibu utapata na usingizi kabisa...njoo tena
 
Naja fasta....ofa maalum :Utakua wa kwanza kuniona live afu utakuja kuwaadithia..afu uone kama nadeserve ol this shits....

Duuh! kune offer hapo nimepapenda, na ntakua messenger mzuri tu kwao.
 
Ww nyang'au kweli sasa ulikuwa unataka nn sasa ulikuwa unadeep umepigiwa unaanza kumunya munya pokea sasa pm imejaa siufute

Beep not deep mkuu...

Otherwise ujumbe wako mzuri, yaani inaonyesha alikuwa anawajaribu wanaume! Ana tabia mbaya sana.
 
Hahahaa lilymashy kumbe haupo tayari kwa hicho ulichokiomba,wanaume wa humu ndio haohao wa mtaani....
Trust me there are good men humu sio kama unavyo wajudge
All the best,funga mkanda safari imeanza
 
Last edited by a moderator:
Beep not deep mkuu...

Otherwise ujumbe wako mzuri, yaani inaonyesha alikuwa anawajaribu wanaume! Ana tabia mbaya sana.

Kwanza Hv nikikuuliza tabia yangu mbaya hasa ni ipi utanijibu? Pili afu nimewajaribuje hao wanaume nisiowajua? Tatu ukishajijibu angalia kama comment yako inaendana na thread yangu..mwisho kabisa jifunze kusave ur unnecessary bulshits..gudnyt
 
Ww nyang'au kweli sasa ulikuwa unataka nn sasa ulikuwa unadeep umepigiwa unaanza kumunya munya pokea sasa pm imejaa siufute

Kuandika tuu hujui sasa nikikujibu si ntakua nakuonea...maana unaweza pia ukawa hujui kusoma..
 
Kwanza Hv nikikuuliza tabia yangu mbaya hasa ni ipi utanijibu? Pili afu nimewajaribuje hao wanaume nisiowajua? Tatu ukishajijibu angalia kama comment yako inaendana na thread yangu..mwisho kabisa jifunze kusave ur unnecessary bulshits..gudnyt

Good night too!

Ubarikiwe...
 
Hahahaa lilymashy kumbe haupo tayari kwa hicho ulichokiomba,wanaume wa humu ndio haohao wa mtaani....
Trust me there are good men humu sio kama unavyo wajudge
All the best,funga mkanda safari imeanza

Brenda am very ready tena more than serious. .ila usisome comments zikakuchanganya..my thread is ok i wrote it just for fun..ila pipoz wameexagurate mpaka imeonekana kama big ishu..like seriously watu wangap wanataniana humu an it is ok with them sema sababu nimeandika abt pm imekua shida...maombi yangu yapo pale and nitafanikiwa as Gods will
 
Last edited by a moderator:
Nilivyoiona story yake jana alinikumbusha cousin yangu mwaka jana aliandika kwenye Whatsaap status 2015 ataolewa tu mpaka leo hata mchumba hajapata nataka nimtanie cousin yangu ila mizuka ya wanawake si mnajijua. Mara atapandisha kama Lilmashy

😂😂😂😂😂😂ukimtania huyo hamtoongea mwaka mzima,haya mambo usichukulie utani watu kama hao wanakuaga na temper na moods za ajabu ajabu,kweli nimeamini mshenga Elli 79 ndoa ni dili
 
Last edited by a moderator:
😂😂😂😂😂😂ukimtania huyo hamtoongea mwaka mzima,haya mambo usichukulie utani watu kama hao wanakuaga na temper na moods za ajabu ajabu,kweli nimeamini mshenga Elli 79 ndoa ni dili

Are u serious? Au ni usingizi
 
Last edited by a moderator:
we ni kinabo kweli mambo ya pm yanaishiaga pm huku umeleta kufanya nini,watu kama nyie ndio mnafanya mpaka tunadharau wanawake,kutongozwa tu umeleta kelele jamani sipati picha ulivyo mana nnavyojua wadada wa kali wenye shepu na akili zao huwezi kuona wakija na vitu kama vyako kujisifu kutongozwa ilhali wanataongozwa na wanaume zaidi ya 12 kwa siku we mwaka mzima watu 24 tu kelele, acha ulimbukeni punguani wewe,na ukipata mwanaume ukakaa nae hata mwezi 1 nakupa mil 100 ma nyie wanaume wenzangu acheni usengerema kuna watu wakutongoza sio haya majini.
 
Aiseee wana jf humu ni kiboko..yan usithubutu kusema u are single watakua wageni wako wa ghafla huko kwenye pm..yan jana nimeongea swala la kumuomba Mungu anipe mume 2016,nimepata waume wema kibao huko kwenye pm yan mtu anajiexpress hadi unabaki kucheka...ni nini kuniletea jam huko..afu wana confidence haoo 😂😂😂 hahaha..anyways namba za simu mi sizitaki jaman zitunzeni tuu kwa matumizi yenu ya bdae...wengine kwa text tuu mnaonyesha mlivo mabaazazi kabla hata ya kuwaona...ila ngoja tuu niwatakieni wikend njema.

Angekuwa dida angeshangiliaje kwani nimesoma kuwa anatarajia kuolewa kwa mara ya nne na kasema kuolewa ni bahati kwani kuna wanawake wengine hawapati bahati hiyo maisha yao yote.

Nakushangaa we sijui mwanamke wa aina gani.ningekuwa sijaoa na Mimi ningeku pm
 
Endelea kushangaa unaweza kupata jibu la swali lako.
 
Back
Top Bottom