Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ushazichapa kwenye ulingo wa fundi seremala mwenzio anapata PM tuu.:wink2:
Naja fasta....ofa maalum :Utakua wa kwanza kuniona live afu utakuja kuwaadithia..afu uone kama nadeserve ol this shits....
Ww nyang'au kweli sasa ulikuwa unataka nn sasa ulikuwa unadeep umepigiwa unaanza kumunya munya pokea sasa pm imejaa siufute
Namimj natafta mume jamani, nigawie pm moja shost!
Beep not deep mkuu...
Otherwise ujumbe wako mzuri, yaani inaonyesha alikuwa anawajaribu wanaume! Ana tabia mbaya sana.
Ndo mana haolewi na mwaka 2016 utaisha ataendelea kusaga lami tuuuu!!
Kwanza Hv nikikuuliza tabia yangu mbaya hasa ni ipi utanijibu? Pili afu nimewajaribuje hao wanaume nisiowajua? Tatu ukishajijibu angalia kama comment yako inaendana na thread yangu..mwisho kabisa jifunze kusave ur unnecessary bulshits..gudnyt
Mi ni mwanaume
Hahahaa lilymashy kumbe haupo tayari kwa hicho ulichokiomba,wanaume wa humu ndio haohao wa mtaani....
Trust me there are good men humu sio kama unavyo wajudge
All the best,funga mkanda safari imeanza
Nilivyoiona story yake jana alinikumbusha cousin yangu mwaka jana aliandika kwenye Whatsaap status 2015 ataolewa tu mpaka leo hata mchumba hajapata nataka nimtanie cousin yangu ila mizuka ya wanawake si mnajijua. Mara atapandisha kama Lilmashy
😂😂😂😂😂😂ukimtania huyo hamtoongea mwaka mzima,haya mambo usichukulie utani watu kama hao wanakuaga na temper na moods za ajabu ajabu,kweli nimeamini mshenga Elli 79 ndoa ni dili
Ha ha ha ha ha Umenkumbusha jamaa anaetaka wakutane wazichape kavu kavu lol
Aiseee wana jf humu ni kiboko..yan usithubutu kusema u are single watakua wageni wako wa ghafla huko kwenye pm..yan jana nimeongea swala la kumuomba Mungu anipe mume 2016,nimepata waume wema kibao huko kwenye pm yan mtu anajiexpress hadi unabaki kucheka...ni nini kuniletea jam huko..afu wana confidence haoo 😂😂😂 hahaha..anyways namba za simu mi sizitaki jaman zitunzeni tuu kwa matumizi yenu ya bdae...wengine kwa text tuu mnaonyesha mlivo mabaazazi kabla hata ya kuwaona...ila ngoja tuu niwatakieni wikend njema.
Angekuwa dida angeshangiliaje kwani nimesoma kuwa anatarajia kuolewa kwa mara ya nne na kasema kuolewa ni bahati kwani kuna wanawake wengine hawapati bahati hiyo maisha yao yote.
Nakushangaa we sijui mwanamke wa aina gani.ningekuwa sijaoa na Mimi ningeku pm