Pocket money kwa mke

Pocket money kwa mke

Leo nimekuja na ombi lingine. Hivi mwanamke (mama wa nyumbani)anastahili au hastahili kupewa pocket money ya kujinunulia vitu vyake vidogo mpaka aviorodheshe kwenye list ya vitu vya mwisho wa mwezi! Kwa kweli hili jambo linanishangaza sana kwa huyu bwana maana kupewa hio pesa ni mpaka uiombe kwa nguvu sana ikibidi na ugomvi juu yake. Sasa mume asimpompa mke pesa ategemee akapate wapi! ukiuliza kwa nini hakupi hiyo pocket money kila mwezi anakaa kimya tuu, ukimuuliza haujui kwamba anatakiwa kufanya hivyo anasema anajua. Sasa jamani mtu kama huyu aelewekeje! naombeni msaada tafadhali.
Hi
Model ni ileile, haijalishi upo ughaibuni au TZ.Wenzio huku wanaongeza gharama za matumizi ya kila siku kwenye ile hela inayoachwa nyumbani kama matumizi ya siku.
Sitisha mpango wa kukopa fedha kutoka kwa mama yako.
Maliza masomo, tafuta kazi ukimshirikisha mwenzangu.
 
Thank for your comment but umekuwa tata sana katika ideas zako not reachabled.
 
Leo nimekuja na ombi lingine. Hivi mwanamke (mama wa nyumbani)anastahili au hastahili kupewa pocket money ya kujinunulia vitu vyake vidogo mpaka aviorodheshe kwenye list ya vitu vya mwisho wa mwezi! Kwa kweli hili jambo linanishangaza sana kwa huyu bwana maana kupewa hio pesa ni mpaka uiombe kwa nguvu sana ikibidi na ugomvi juu yake. Sasa mume asimpompa mke pesa ategemee akapate wapi! ukiuliza kwa nini hakupi hiyo pocket money kila mwezi anakaa kimya tuu, ukimuuliza haujui kwamba anatakiwa kufanya hivyo anasema anajua. Sasa jamani mtu kama huyu aelewekeje! naombeni msaada tafadhali.

...wanaobisha na wabishe tu, tangu kiumbe mwanaume aanze baleghe, pesa yake ni halali ya mwanamke!

...pesa ya kuhonga, pesa ya mahari, pesa ya kumlisha na kumvisha mke, ...mpaka pesa unayoacha ukifa ni halali ya mkeo!

...Ooops, hata ukimuacha mkeo kuna fungu unalazimika kumfidia, au kuendelea kutoa child support!

hiyo ni 'laana' ya milele, haina mbadala 🙁
 
Thanks my dear for your good comments, be blessed for telling the reality.
 
Bora uombe hela uuze hata karanga za kuchoma kuliko kila siku unaomba pocket money.
 
Leo nimekuja na ombi lingine. Hivi mwanamke (mama wa nyumbani)anastahili au hastahili kupewa pocket money ya kujinunulia vitu vyake vidogo mpaka aviorodheshe kwenye list ya vitu vya mwisho wa mwezi! Kwa kweli hili jambo linanishangaza sana kwa huyu bwana maana kupewa hio pesa ni mpaka uiombe kwa nguvu sana ikibidi na ugomvi juu yake. Sasa mume asimpompa mke pesa ategemee akapate wapi! ukiuliza kwa nini hakupi hiyo pocket money kila mwezi anakaa kimya tuu, ukimuuliza haujui kwamba anatakiwa kufanya hivyo anasema anajua. Sasa jamani mtu kama huyu aelewekeje! naombeni msaada tafadhali.

Mlivyooana mmepatanaje? Au mmechukuana tu bila kuagana?

Kwa nini mwanamke apewe hela na mwanamme? Mwanamke huyu ni mtoto wa mwanamme?

Wanawake wanapinga sana "mfumodume" na ukandamizwaji kutoka kwa wanaume. Kwa msingi wa kuangalia wanawake kama hawa mtu akisema wanawake wanajikandamiza wenyewe kwa kukubali ukiwa na u-ombaomba mtamkatalia?
 
Kiranga, ni suala la kujichagulia. Hakuna formula moja kwa wanawake wote. Penny kaamua kumtegemea mumewe kwa kupata hela ya matumizi madogo magogo na makubwa makubwa, na kama mume wake amesema anajua hivo basi ni haki yake, na wala sio masuala ya mfumo dume.
Ingekua Penny anataka kufanya kazi and earn her own penny, ila amekatazwa na mume wake, hapo ni tofauti.
 
Naelewa ni suala la kujichagulia. Ndiyo maana kitu cha kwanza kabisa nilichoandika nimeuliza makubaliano yao yalikuwaje? Maana inawezekana walikubaliana mama atakaa nyumbani huku akipewa pocket money, baadaye mambo yanageuka. Hapa mama anaweza kuwa na swala.

Lakini hata kama wamejichagulia hivyo, sehemu ya pili ya post yangu bado ina apply. Ukishakubali kufadhiliwa na mtu unakubali kuwa chini yake.

Na mwanamke hawezi kukubali kufadhiliwa halafu hapo hapo akapiga mbiu ya usawa wa wanawake na wanaume.
 
Labda na yeye anamfadhili katika mambo mengine?
Unajua mwanamke hata akifanya kazi na kujitegemea kifedha bado kuna kazi nyingi za ndani zinamsubiri. na hata wakiamua kugawana kazi za ndani kuna kazi ambazo mother nature alimpa mwanamke na hizo atazifanya tu. Linapo kuja swali la kugawana benefits za ndoa unakuta arrangement zingine zinachukua hiyo contribution in kind na zina balance na financial contribution ya mume. hivo hizo hela anazo pewa hapewi kama zawadi, anapewa sababu asinge weza kujitafutia mwenyewe kwakua alitakiwa kufanya kazi za ndani. so it is fair, it is not charity.
 
Sasa kama ni hivyo kwa nini anaomba wakati ni biashara?
 
Dah! Shem wangu wa ukwe'ee aka Penny...sijui kapotelea wapi tu!

We had a blast way back when!
 
Kiranga, ni suala la kujichagulia. Hakuna formula moja kwa wanawake wote. Penny kaamua kumtegemea mumewe kwa kupata hela ya matumizi madogo magogo na makubwa makubwa, na kama mume wake amesema anajua hivo basi ni haki yake, na wala sio masuala ya mfumo dume.
Ingekua Penny anataka kufanya kazi and earn her own penny, ila amekatazwa na mume wake, hapo ni tofauti.

Mngejua kipindi kile shem wangu alikuwa wapi ndo mngeelewa where she was coming from.
 
Tunastahili kupewa bwana...huyo naye kwanini yuko hivyo, haogopi unaweza kupewa hiyo pocket money na mtu mwingine...huyo hafikirii mbali kabisaaa...yaani anazo halafu anakubania!
 
Mwanamke anastahili sana kupewa hela ya matumizi bila yeye mwenyewe kuomba.Mume yoyote anaejitambua anajua jukumu hili!
 
Kabisa kabisa lazima apewe pocket money sio pocket money tu alipwe mshahara.

Mwanaume anapo owa lazima ajuwe kuoa sio kusex na kuzaaisha tu peke yake, ni kumhudumia mke wake pia...na akimpa mshahara mke wake 1/4 anazo pata sio mbaya kabisa.
 
Hata ukienda dukani kuna revenue na task distribution vile vile.
Any relationship is a contract, na inakuja na distribution of inputs, outputs, and outcomes. It doesn't mean kua ni biashara. Makubaliano kkati ya wahusika (acknowledged or tacit) ni part of the contract pia. Sasa kama Penny na mume wake walikubali wote kua pocket money ni muhimu (and I am assuming that it i not a salary but a distribution of income within the household) basi kosa la jamaa ni kosa la kutowajibika, na all this has nothing to do with mfumo dume.
 
Back
Top Bottom