Pocket money ya Maulid Kitenge eti 1 million

Kweli ukiwa huna pesa, ukiona mtu anatumia pesa zake unahisi anatumia vibaya, tutafute pesa mkuu, ili hata mtu akitoa dollars tusishtuke[emoji3]
 
nenda akuowe
 
kuna watu wanafaidi maisha..mimi wallet yangu ikiwa na pesa nyingi basi ni elfu 10 tu..heri yake huyo
 
Unadhani analipwa laki 5 kwa mwezi pale wasafi media?,ingekua hivyo asingetoka ITV kwenda e FM,na pia asingetoka e FM kwenda wasafi media,huko kote alipoenda alifata dau zuri ndo maana wanaweza kumng'oa
Kwahiyo laki 5 sio hela?
 
Mleta mada anapenda anapenda sana hela shida ndio ipo hapo.
 
Dont believe anything you see on the net. Walijipanga. Ila hata hivyo one million si ni euro 400 tu.
 
Hapana mkuu,laki 5 ni pesa nzuri sana,ila kwa mtangazaji mkubwa hio haiwez kumtoa kwenye kituo chake na kuhamia kingine,namaanisha pale anaweza kua analipwa zaidi ndo maana akakubali kuhama
Kwahiyo laki 5 sio hela?
 
Jipige dole
Kwa hiyo ndo unajidai sahiv unajua Kiswahili eti, umefika mjini juzi juzi tu umekunywa chai na maandazi kwa mama ntilie, Basi unajiona unefikaaaa
 
Anakula mil 1 kwa siku!!..kwani huwa anakula kenge au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…