Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #41
Nimelala na nimeamka asubuhi msala umeishaUnapata nguvu za kubembeleza usiku ,me ninge lala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimelala na nimeamka asubuhi msala umeishaUnapata nguvu za kubembeleza usiku ,me ninge lala
Kwanini usimpeleke site aone powder inavyotumika,unatumie maguvu budaUsiku huu wakati narejea magetoni, shemeji yenu amecharuka na hataki kuelewa lolote, anadai nimetoka kukutana na mwanamke mwingine.
Sababu ni harufu ya Poda ambayo imebaki mwilini mwangu, kweli sijakataa nanukia Poda.
Lakini Kama mnavyojua mchezo wa pool table, Ni lazima utumie Poda ili kurahisisha fimbo kuteleza mkononi, na hiyo ndyo sababu ya kubaki na harufu kali ya Poda.
Najitahidi kuzima huu moto lakini naona bado haiwezekani, leo nimeyatimba.......
Hakuna nguvu iliyo tumika, ila ipo siku nitamuonesha aone uhalisiaKwanini usimpeleke site aone powder inavyotumika,unatumie maguvu buda
😂😂serious umekosa msela wa kumpigia simu athibitishe ulikuwa bar kucheza pool table ukapaka na poda usoni 😂
Kwani ni first time unacheza PT kw powder?,hayo alitakiwa ayajue from day one kwenye orientation ya mambo uyapendayo, na yale uyafanyayo muda wa ziada.Hakuna nguvu iliyo tumika, ila ipo siku nitamuonesha aone uhalisia
Ume edit 😂Hakuna sehemu nimesema naomba ushauri
Wapi nime edit?Ume edit 😂
I'm gonna get out of here 🏃🏃Wapi nime edit?
Ondoka nenda away lala huko siku tatu mwambie poda hazijaisha🤣🤣Na hizi Poda hata ukioga bado harufu inabaki, sasa tumelala anasema eti "sogea huko na mapoda yako" yani ni manyanyaso usiku mzima
and don't forget to go when you leaveI'm gonna get out of here 🏃🏃
Duh, Siwezi nikalala nje kwasababu hii, ila yamekwishaOndoka nenda away lala huko siku tatu mwambie poda hazijaisha🤣🤣
Gentleman I appreciateand don't forget to go when you leave
Thanks gentleman, stay blessedGentleman I appreciate
Amen .Thanks gentleman, stay blessed.
Acha hizo Mhasibu. Kuna upuuzi kuzidi zile nyuzi zako za Mayele vs. Kibu Denis; na hasara ya milioni 400 ya Aziz Ki? 😁Lakini Mods watusaidie tusione huu upuuzi