Pogba kafiwa?

Pogba kafiwa?

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Screenshot_20220312-202618_YouTube.jpg
Screenshot_20220312-202455_YouTube.jpg
Screenshot_20220312-202646_YouTube.jpg
Screenshot_20220312-202655_YouTube.jpg
 
Paul Pogba kiungo mshambuliaji wa timu ya mpira ya Premier league ya uingereza Kanyoa upara mechi ya leo wanayocheza sasa hivi dhid ya Tottenham wako halftime. Manchester inaongoza 2-1 yote yakifungwa na Ronaldo na hilo moja la Tottenham likifungwa na Harry Kane.

Je Pogba kafiwa ndo maana kanyoa upara? Hajawahi Kunyoa upara.

Au anaomboleza Wayukrein wanavyouwawa na Putin?
 
Wamevaa vitambaa vyeus,labda kuna msiba
 
Paul Pogba kiungo mshambuliaji wa timu ya mpira ya Premier league ya uingereza Kanyoa upara mechi ya leo wanayocheza sasa hivi dhid ya Tottenham wako halftime. Manchester inaongoza 2-1 yote yakifungwa na Ronaldo na hilo moja la Tottenham likifungwa na Harry Kane.

Je Pogba kafiwa ndo maana kanyoa upara? Hajawahi Kunyoa upara.

Au anaomboleza Wayukrein wanavyouwawa na Putin?
Mbona hata mimi nina para baada ya kutahiriwa, je nimefiwa? wacha kukariri maisha ya watu, we kunywa tu huko Bar wajanja wakuokote na kukuchamba baada ya kipondo.
 
Back
Top Bottom