The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamevaa vitambaa vyeus,labda kuna msibaPaul Pogba kiungo mshambuliaji wa timu ya mpira ya Premier league ya uingereza Kanyoa upara mechi ya leo wanayocheza sasa hivi dhid ya Tottenham wako halftime. Manchester inaongoza 2-1 yote yakifungwa na Ronaldo na hilo moja la Tottenham likifungwa na Harry Kane.
Je Pogba kafiwa ndo maana kanyoa upara? Hajawahi Kunyoa upara.
Au anaomboleza Wayukrein wanavyouwawa na Putin?
Mbona hata mimi nina para baada ya kutahiriwa, je nimefiwa? wacha kukariri maisha ya watu, we kunywa tu huko Bar wajanja wakuokote na kukuchamba baada ya kipondo.Paul Pogba kiungo mshambuliaji wa timu ya mpira ya Premier league ya uingereza Kanyoa upara mechi ya leo wanayocheza sasa hivi dhid ya Tottenham wako halftime. Manchester inaongoza 2-1 yote yakifungwa na Ronaldo na hilo moja la Tottenham likifungwa na Harry Kane.
Je Pogba kafiwa ndo maana kanyoa upara? Hajawahi Kunyoa upara.
Au anaomboleza Wayukrein wanavyouwawa na Putin?