Pogba ndio mchezaji bora kwa sasa duniani

FORTALEZA
wewe utakuwa mchokozi maana uzi ulishafutika kabisa kwanini unaukumbushia? Wewe ni timu gani? maana ulianza na Man united kutapata point 3, sasa umeona haitoshi unaenda kufukua haya. Unajua kufungwa inauma sana? Kwani wao waliwahi kukupigia kelele pale unapokosa point 3 ?
 
mchezaj bora duniani???,tusikupeleke mbaliii, nazani coutinho,busiquet, kroos,hazard,neymar,mbape,wanacheza rugby
 

Huyu jamaa Ronald na Mesi hawaingii kabisa.

Skills zake ni level ya zidane kipindi kile huyu ni lever ingine kabisa.

Kuna siku atauzwa hata paund Milioni 200 .
Utakuwa umelogwa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…