Hata mm nawashangaa kweli mashabiki maandazi wa united.Kijana acha kuvuta bangi usimfananishe KDB na pogba nikumkosea KDB heshima.KDB ni mchezaji mwenye consistent performance na pia anaperform mechi kubwa huyo mwengine ni homa ya vipindi.
asante sana mkuu .
hata mimi huwa natatakari kama KDB alivyouzwa WOLFSBURG angekuwa pogba tungemuona tena karudi EPL?
KDB. ni jembe
msimu ambao KDB alikuwa injured
Ukitaka kumjua Pogba ni nani angalia akiwa France anapocheza na Ng'olo na Blaise,hauwezi kuuliza Paul atakumbukwa kwa lipi wakati mashindano yenyewe ya dunia yanamkumbuka Paul kuliko Kelvin, Kelvin Club level na national team kazungukwa na world class player ni haki yake kufanya vizuri club level, sasa mnataka Paul afanye kipi kwa kucheza na matic na mctominnay ?Assist gani Kelvin kapiga Paul hajawai kupiga? Paul ni full talent halazimishi soka, Kwenye ukweli tuwe wawazi.Nimalize kwa kusema unapokuta Paul yupo FIFA Pro XI sio bahati mbaya dunia inamjua vizuri,na Club level Kelvin anamzidi Paul kuchukua makombe tu sio individual performance (zingatia statistics)wanajukwaa habari za leo?
huwa mara nyingi nikiingia jukwaa la michezo kwenye Uzi wa team iliyojaa mashabiki maandazi Manchester United napatwa kichefuchefu na kupelekea kupigwa ban maana uko watu hawana akili nzuri.
leo nmepita nimeona watu wanasema pogba ni bora kuliko KDB (ASSIST MASTER)
Nimeshangaa sana kwakweli ivi pogba ana tuzo gani binafsi anayomzidi KDB?
Au pogba ana kipi cha maaana ambacho dunia ya soccer itamkumbuka nacho na anachojivunia ukiacha kubadirisha styles za kunyoa?
naomba ndugu zangu mtoe mawazo yenu katika hili.
Hawezi KukujibuPogba pia alikuwa injured.
Mechi walizocheza pogba total alicheza 52 debruyne 50. Alimzidi mechi 2 tu ila pogba alimpita assists za kutosha na magoli ya kutosha. Goal and assist per minute pogba pia alimpita.
Bado hujanijibu umetumia kigezo gani kusema debruyne ni bora kuliko pogba?
Hawezi Kukujibu
Number never lie.
Soka siku hizi Mikelele isiyo na maana,
Unaposema fulan mzuri kuliko huyu,
WATU wanazama kwenye number.
Mimi kwa hawa watu nakosa wa kumshusha chini... Nawaelewa wote
Kura yangu imeharibika"