Pogba VS KDB who is the best?

Pogba VS KDB who is the best?

MKUYENGE

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2019
Posts
4,107
Reaction score
4,612
wanajukwaa habari za leo?

huwa mara nyingi nikiingia jukwaa la michezo kwenye uzi wa team iliyojaa mashabiki maandazi Manchester United napatwa kichefuchefu na kupelekea kupigwa ban maana uko watu hawana akili nzuri.

leo nmepita nimeona watu wanasema pogba ni bora kuliko KDB (Assist Master)
Nimeshangaa sana kwakweli ivi pogba ana tuzo gani binafsi anayomzidi KDB?

Au Pogba ana kipi cha maaana ambacho dunia ya soccer itamkumbuka nacho na anachojivunia ukiacha kubadirisha styles za kunyoa?

naomba ndugu zangu mtoe mawazo yenu katika hili.
 
Misimu ya 2017 -2018 na 2018-2019 pogba kampita debruyne total goals na assists kwenye ligi.
Umetumia kigezo gani kusema debruyne ni bora?
msimu ambao KDB alikuwa injured
 
Kijana acha kuvuta bangi usimfananishe KDB na pogba nikumkosea KDB heshima.KDB ni mchezaji mwenye consistent performance na pia anaperform mechi kubwa huyo mwengine ni homa ya vipindi.
Hata mm nawashangaa kweli mashabiki maandazi wa united.
 
Pogba pia alikuwa injured.
Mechi walizocheza pogba total alicheza 52 debruyne 50. Alimzidi mechi 2 tu ila pogba alimpita assists za kutosha na magoli ya kutosha. Goal and assist per minute pogba pia alimpita.
Bado hujanijibu umetumia kigezo gani kusema debruyne ni bora kuliko pogba?
msimu ambao KDB alikuwa injured
 
wanajukwaa habari za leo?

huwa mara nyingi nikiingia jukwaa la michezo kwenye Uzi wa team iliyojaa mashabiki maandazi Manchester United napatwa kichefuchefu na kupelekea kupigwa ban maana uko watu hawana akili nzuri.

leo nmepita nimeona watu wanasema pogba ni bora kuliko KDB (ASSIST MASTER)
Nimeshangaa sana kwakweli ivi pogba ana tuzo gani binafsi anayomzidi KDB?

Au pogba ana kipi cha maaana ambacho dunia ya soccer itamkumbuka nacho na anachojivunia ukiacha kubadirisha styles za kunyoa?

naomba ndugu zangu mtoe mawazo yenu katika hili.
Ukitaka kumjua Pogba ni nani angalia akiwa France anapocheza na Ng'olo na Blaise,hauwezi kuuliza Paul atakumbukwa kwa lipi wakati mashindano yenyewe ya dunia yanamkumbuka Paul kuliko Kelvin, Kelvin Club level na national team kazungukwa na world class player ni haki yake kufanya vizuri club level, sasa mnataka Paul afanye kipi kwa kucheza na matic na mctominnay ?Assist gani Kelvin kapiga Paul hajawai kupiga? Paul ni full talent halazimishi soka, Kwenye ukweli tuwe wawazi.Nimalize kwa kusema unapokuta Paul yupo FIFA Pro XI sio bahati mbaya dunia inamjua vizuri,na Club level Kelvin anamzidi Paul kuchukua makombe tu sio individual performance (zingatia statistics)
 
huyo KDB ana medali ya UBINGWA WA KOMBE LA DUNIA?
Pogba kashaingia kwenye historia mpaka hapo sasa huyo KDB wako sijui tutamkumbuka kwa lipi la maana labda alilofanya?
 
Pogba pia alikuwa injured.
Mechi walizocheza pogba total alicheza 52 debruyne 50. Alimzidi mechi 2 tu ila pogba alimpita assists za kutosha na magoli ya kutosha. Goal and assist per minute pogba pia alimpita.
Bado hujanijibu umetumia kigezo gani kusema debruyne ni bora kuliko pogba?
Hawezi Kukujibu
Number never lie.
Soka siku hizi Mikelele isiyo na maana,
Unaposema fulan mzuri kuliko huyu,
WATU wanazama kwenye number.
 
ujue kwa mtu makini ukichuoguza
utakuja kugundua pogba ni bidhaa moja adimu man u wanashindwa kuitumia..
pogba ukiangalia moves zake,jicho lake anapokuwa na mpira au hana, utagundua ni bahati man u wanaichezea..
wanachotakiwa kufanya ni kutafuta viungo wawili wanyumbulifu.. kama yule bruno fenarndez angecheza na pogba pale, ndo ungemuona pogba vizuri.

pogba ukitaka uone mavitu yake, muweke acheze kiungo mshambuliaji then awe free, kazi yake iwe kupandisha team uone!

pale man u anapata tabu sana, kazungukwa na matic,fred na takataka zingine. unategemea afanye nini?

wakati kdb kazungukwa na kina d silva, benardo silva, gundogan, rodri, fernandinho! huoni tofauti hapo na kdb anakuwaga free tofauti na pogba.

si unaona kule france anavyokiwasha? sababu? anacheza na watu wawili wenye akili kama zake. (kante,matuidi) tofauti na uko man u sijui..
 
Kitu pekee debruyne anampita pogba ni ukamiaji uwanjani jamaa anajituma sana kuliko pogba ilo halina ubishi pia debruyne anacheza mpira kazikazi basic football. Pogna is real talent though ni mvivu sana na hajitumi na anacheza mpira wa vikorombwezo kibao na bado yupo juu kwa numbers. Hio misimu miwili waliokuwa epl kampita total goals total assists total attempted assists etc
Hawezi Kukujibu
Number never lie.
Soka siku hizi Mikelele isiyo na maana,
Unaposema fulan mzuri kuliko huyu,
WATU wanazama kwenye number.
 
KDB kaachwa mbali sana na pogba huyu pogba hivi nyie mnamchukuliaje. Huyu ni mmoja ya viungo bora sana kwa wakati huu huwezi mfananisha na KDB hata statistics tu ukiangalia huyo sope wenu kaachwa mbali sana. So mjadala ufungwe hapa jibu ndo hilo
 
Back
Top Bottom