MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,107
- 4,612
wanajukwaa habari za leo?
huwa mara nyingi nikiingia jukwaa la michezo kwenye uzi wa team iliyojaa mashabiki maandazi Manchester United napatwa kichefuchefu na kupelekea kupigwa ban maana uko watu hawana akili nzuri.
leo nmepita nimeona watu wanasema pogba ni bora kuliko KDB (Assist Master)
Nimeshangaa sana kwakweli ivi pogba ana tuzo gani binafsi anayomzidi KDB?
Au Pogba ana kipi cha maaana ambacho dunia ya soccer itamkumbuka nacho na anachojivunia ukiacha kubadirisha styles za kunyoa?
naomba ndugu zangu mtoe mawazo yenu katika hili.