Point 3 za Simba hatimaye FIFA wamekata mzizi wa fitna

Yaani match ya leo kama ingeamuliwa kwa point mikia tayari walishakufa sema ndio leo wamejitahidi wabebwe uwanjani na Refa na sio mezani.
 
Yani kuna mtu anajiita great thinker alafu anaamini hiyo barua kweli imetoka FIFA
 
Acha kijitoa fahamu hii ni barua fake!
 
Kutoka
Mbumbumbumbu FC
Mezani FC
Maandamano FC

Sasa ni rasmi, Mbeleko FC
 
FIFA nao wapuuzi tu. Points 3 za simba ziko wazi wanashindwaje kuziona? Naona siasa ya mpira imeingia FIFA pia.
Mkuu tulia FIFA hawajatoa maamuzi hizo ni sound za 4G fc
 
Nilishawaambia hawa mbumbumbu FC, mnachezewa akili na viongozi wenu tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…