Nshonzi
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 3,057
- 1,882
Tena kwa kubebwakifutia machozi hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena kwa kubebwakifutia machozi hahaha
Naona kwa ripoti hii lazima manara atembee uchi kama alivyoahidiyanga mna matatizo sana,hiyo mi`rangi inawaharibu akili....
Tafuta panadol umezeimeandikwa na Malinzi
Hatari sanaTena kwa kubebwa
Nimenunua kamera mpya kitu cha 4K kwa ajili ya hilo tukio!!Naona kwa ripoti hii lazima manara atembee uchi kama alivyoahidi
Mkuu ukiipata Pls itupie jfNimenunua kamera mpya kitu cha 4K kwa ajili ya hilo tukio!!
Acha kijitoa fahamu hii ni barua fake!Viongozi wa Simba Sport Club acheni kuwafanya mazuzu mashabiki wenu! Kila mnapofanya mambo ya hovyo hovyo hua mnawahadaa kwa lugha zakitapeli mashabiki wenu, na wao huingia wazima wazima kumbe ni urongo
Sasa Fifa ndo wamekujibuni hiyo barua! Wahadaeni tena mashabiki wetu kwa maneno ya ramuli chonganishi
CC: GENTAMYCINE
Yani kuna mtu anajiita great thinker alafu anaamini hiyo barua kweli imetoka FIFA
Mkuu tulia FIFA hawajatoa maamuzi hizo ni sound za 4G fcFIFA nao wapuuzi tu. Points 3 za simba ziko wazi wanashindwaje kuziona? Naona siasa ya mpira imeingia FIFA pia.