Point 3 za Simba hatimaye FIFA wamekata mzizi wa fitna

Point 3 za Simba hatimaye FIFA wamekata mzizi wa fitna

Yaani match ya leo kama ingeamuliwa kwa point mikia tayari walishakufa sema ndio leo wamejitahidi wabebwe uwanjani na Refa na sio mezani.
 
1e17c23c12a40e9d8840e18e210c9084.jpg
 
Yani kuna mtu anajiita great thinker alafu anaamini hiyo barua kweli imetoka FIFA
 
Viongozi wa Simba Sport Club acheni kuwafanya mazuzu mashabiki wenu! Kila mnapofanya mambo ya hovyo hovyo hua mnawahadaa kwa lugha zakitapeli mashabiki wenu, na wao huingia wazima wazima kumbe ni urongo

Sasa Fifa ndo wamekujibuni hiyo barua! Wahadaeni tena mashabiki wetu kwa maneno ya ramuli chonganishi

CC: GENTAMYCINE
Acha kijitoa fahamu hii ni barua fake!
 
Kutoka
Mbumbumbumbu FC
Mezani FC
Maandamano FC

Sasa ni rasmi, Mbeleko FC
 
FIFA nao wapuuzi tu. Points 3 za simba ziko wazi wanashindwaje kuziona? Naona siasa ya mpira imeingia FIFA pia.
Mkuu tulia FIFA hawajatoa maamuzi hizo ni sound za 4G fc
 
Nilishawaambia hawa mbumbumbu FC, mnachezewa akili na viongozi wenu tu....
 
Back
Top Bottom