Point 4 za Dambisa Moyo (Mwandishi wa Kitabu cha Dead Aid) na Uchumi wa Rais Magufuli


i said i stand corrected: my point was uchumi haujengwi kwa kuongeza mishara peke yake: but it plays a part: it was a typing error
 

To correct you BOT is responsible for only 3% of all the money: Most money comes from commercial banks, they are the ones who create new money into the economy: Sio lazma in form of these papers we use but as we all know money is just digits typed into the computer these days: So ukiweka BOT pemben money will still boom and boom not unless we need new papers
 
Kumbe nchi hii imesambaratishwa ee.. nilikuwa sijui
 
Nadhani hujaelewa nilichomaanisha.Mkuu aliondoa fedha za serikali na kuzipeleka BoT.Uliona Commercial Banks zilivyoathirika?Pia fedha zote za nchi zinasimamiwa na BoT na siyo Commercial Banks kama sijakosea.
 
Umemjibu vyema
 
Nimesoma nitarejea baadae kuja kuunga mkono hoja.
By the way awamu ya tano imeua microfinance institutions nyingi hivyo imeanza kudiverge from middle east model
 

Chief

Uelewa wako ni mkubwa sana. Hivi ina maana mambo haya ofisi ya rais haishauriwi? Ofisi ya rais ni taasisi kubwa sana sitaki kumlaumu mtu mmoja. Ina maana wote hawajui haya kweli?
 

OMG what Am I reading here, eti 'wazungu kosa lao ni yale malezi ya tangu utotoni wametengenezwa kutomudu uvunjwaji wa haki za binadamu' kuna kiumbe duniani mwenye unyama, katili, muongo, mnyonyaji, muuwaji esp. kwa watu weusi kama Mzungu, afu leo hii mtu mweusi anathubutu kumdescribe kidesign hii, minyororo ya fikra ni mibaya asee. Sasa assume mtu mwenye mentality hii akipewa Uraisi si ndio atatuuza kabisa kwa hawa beasts from Caucas caves.
Mungu mpe nguvu Rais wetu aendelee kuwadhibiti watu wenye mawazo kama haya waliofungwa ufahamu na viElimu vya Mzungu, Afrika hatutaki Economic formula za mzungu kutuprove tunapanda au tunashuka we are going to make it on our own ways, African ways. F$"* what you learn on your dumb a** Universities we don't need that dumbed down a** education it was designed to keep us Slaves so European could stay on the throne, Time is Over imefika mahala hatutahitaji wasomi mchwara tena, but those who can see beyond the illusion.
I'm not Sorry for being different.
 
Nadhani hujaelewa nilichomaanisha.Mkuu aliondoa fedha za serikali na kuzipeleka BoT.Uliona Commercial Banks zilivyoathirika?Pia fedha zote za nchi zinasimamiwa na BoT na siyo Commercial Banks kama sijakosea.

kusimamia sio creating: wenye nguvu kwenye uchumi sio BOT but ni commercial banks: BOT kazi yake ni kusmamia kazi zote zinazohusiana na fedha nchini:mfano kutoa fedha halali kwa ajili ya nchi, official currency: mifumuko ya bei: mwenendo wa fedha , lakini wanaoendesha uchumi ni commercial banks at a large percent (na wananchi wenyewe), ndo maaana unakuta mtu analalamikia serikali kuhusu ela wakisahau ela haitoki serikalini: wao wenyewe wanategemea kodi , mapato na mikopo: ingekua ivo kama unavosema isingekua na haja ya kuanza kusumbuana wananchi kuhusu ela ingekua rahisi sana: serikali ikitaka ela inaenda tu BOT nataka trillion moja kwa ajili ya SGR: chap chap inatolewa na ujenzi unafanyika, but things dont go that way

Kujibu swali lako la kutoa pesa kupeleka BOT, hilo ni swala la kawaida, na kila bank inakuaga na reserve yake kutokana na ukubwa wa hio bank: but as long its still operational thats how it operates
 

Ukiwanyang'anya mashamba watu 60,000 na ukayatumia kuzalisha miwa ufungue kiwanda cha sukari, ni kweli utakuwa umefanikiwa kuzalisha sukari kwa wingi, lakini at the same time utakuwa umeua PURCHASING POWER ya zaidi ya watu 40,000 : kiwanda cha sukari kikiua lazma utahitaji miwa zaidi: na miwa zaidi itatoka wap? lazma watu waanze kulima mashamba , ukitengeneza sukari zaidi, utauza mpaka nje zaidi apo umedouble purchasing power mara 1000: na cha zaidi umeongeza foreign currency, na hatimae umechangia ada kwa mtu anaetaka kwenda kusoma nje ya nchi akarudi na ujuzi akakuza sector ingine: wangebaki na hayo mashamba unategemea nn?
 
Kuna watu wameshindwa kunua true colors za wazungu pamoja na mauaji mengi wanayosababisha Africa na Duniani kote.
 
Hivi watu wanaosema serikali imezuia ajira wapo nchi hii kweli? Tembeleeni www.ajira.go.tz muone ajira zinavyotangazwa kila wakati. Ajira haijazuiwa ila ajira zile za wizara ya elimu, afya na tamisemi za kuwaajiri watu wrote wanaomaliza vyuo vikuu ndio zimekuwa selective
 

sio lazma uajiriwe serikalini, unaweza ata ukajiajiri ama ukaajiriwa nje ya nchi: ama ukawork online mbna option kibao tu: mbna watu wanatoka nchi zingine wanakuja kuwork uku kwetu, so means sisi wavivu sana
 
we are on the Right track.......to hell

(rephrased from anonymous jf member!


 
Na ni kawaida kwa sababu mahitaji ya nchi kwa muongo uliopita ni tofauti na mahitaji ya sasa. Hata diplomasia ya kimataifa pia hubadilika. Globalization inaelekea kufa, tunakuja kwenye nationalists politics na resources nationalism. Sasa utafanyeje hayo bila kupigia debe kujitegemea? Utajitegemeaje bila kuelekeza fedha nyingi kwenye miradi ya maendeleo?
 
Wewe ndugu uelewi kitu watu wanaitwa kwenye interview 800 ila nafasi ni tano hapo kweli kunausawa
 

Kuna msemo unasema :WE ARE THE CITIZENS OF THE WORLD" , tatizo la watu wanaokupinga ni wana usemo wa "WE ARE THE CITIZENS OF TANZANIA" while itsnot there anymore: people trade in any currency they feel like and they can move anywhere and work there and far most be cizitens there: sasa kama watu hawajui kujitegemea mm sjui when will they ever enjoy life
 
Wewe ndugu uelewi kitu watu wanaitwa kwenye interview 800 ila nafasi ni tano hapo kweli kunausawa

sasa kama nafasi zipo tano unategemea vp: we apo sasa hivi watu 800 wanakufuata tunataka ajira, waajiri sasa: kama huezi acha kurusha mawe kwa waliojitahidi ata kuajiri hao 5
 
Dambisa Moyo ana Phd ya uchumi, ungemsoma kwanza Dambisa kabla ya kumjibu mleta uzi, ili uweze kumjibu Dambisa mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…